Ubinadamu ni kusaidiana,naomba usaidizi wako hapa,

Ubinadamu ni kusaidiana,naomba usaidizi wako hapa,

Vannesa

Member
Joined
Jun 3, 2014
Posts
49
Reaction score
5
Kuna rafiki yangu hajachaguliwa kwenda 4m5 ila anataka kusoma ualimu katika chuo chochote cha private kilichopo morogoro,dar,dom au kilimanjaro chenye gharama nafuu.hivyo basi kwa anaejua chuo kinachotoa certificate katika maeneo hayo nakuomba unijulishe
#ni hayo tu
 
Dar kuna chuo kinaitwa Ebonics I guess maarufu sana..kitafute
 
Back
Top Bottom