Ubinadamu: Yanga yatoa msaada mzito huko Rwanda

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
π™”π˜Όπ™‰π™‚π˜Ό π™”π˜Όπ™’π˜Όπ™π™π™π˜Ό π™ˆπ˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™Šπ™•π™„ π™’π˜Όπ˜Όπ™π™ƒπ™„π™π™„π™†π˜Ό π™ˆπ˜Όπ™π™π™π™„π™†π™Š π™π™’π˜Όπ™‰π˜Ώπ˜Ό

Klabu ya Yanga imekabidhi mifuko 200 ya saruji na bati 70 kwa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) hapa Kigali kwa ajili ya waathirika wa mafuruko yaliyotokea mwezi Mei mwaka huu maeneo ya Rubavu na Wilaya ya Rutsiro jimbo la Kaskazini na wilaya ya Burera jimbo la Kusini mwa Rwanda.

Misaada hiyo imekabidhiwa na Rais wa Yanga, Hersi Said na kupokewa na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa WFP tawi la Rwanda hapa jijini Kigali, Munyazikwiye Jerome.

Wananchi kesho watakuwa na kibarua cha kumenyana na Al Merrikh kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL)

Mechi itakuwa LIVE #AzamSports1HD saa 10:00 jioni

#CAFCL #YangaSC
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…