Ubinafsi umevuruga familia nyingi, taasisi n.k

idiomer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
289
Reaction score
342
Ubinafsi umevuruga familia nyingi, Taasisi mbalimbali zikiwemo za watu binafsi, makanisa na serikali.

Ubinafsi sasa unaharibu Taifa.

Ghorofa imezungukwa na vibanda, viongozi wasio na weledi kwani waliwekwa kwa vimemo.
 
Siku hizi hakuna urafiki wa kweli, kila mtu atakuangalia una faida gani kwake kiuchumi au kijamii kwanza kabla ya kuwa karibu na wewe. Watu wako radhi wakuache upotee kama huna kitu cha kuwasaidia, lakini ukifanikiwa utawaona wanajisogeza.

Hata kwenye familia, ndugu mwenye hela ndio anayesikilizwa na kupewa heshima, masikini huwa anaonekana hana akili na hana sauti. Watu wameweka utu pembeni, sasa hivi ni mwendo wa fursa na maslahi binafsi tu kwanza.
 
lakini ukifanikiwa utawaona wanajisogeza.

Hapa dawa yake ni kuwa na roho mbaya
 
Ubinafsi umevuruga familia nyingi, Taasisi mbalimbali zikiwemo za watu binafsi, makanisa na serikali.

Ubinafsi sasa unaharibu Taifa.

Ghorofa imezungukwa na vibanda, viongozi wasio na weledi kwani waliwekwa kwa vimemo.
Unakuta lijitu Lina mihela halisaidii ndugu zake mtu anatafuta mtaji wa 300,000 na ana ndugu wengi Wana hela Lakini hawampi alafu akifariki msiba wake unaweza cost zaidi ya million 3.
 
Dah ubinafsi sio mzuri kwa kweli tusaidiane.
 
Back
Top Bottom