Ubinafsi wetu wanawake ndio chanzo cha wanaume kutuumiza

Ubinafsi wetu wanawake ndio chanzo cha wanaume kutuumiza

Usemayo Ni kweli kabisa,

Nna mwanamke wangu mmoja uyo, Ni mbinafsi wa kutupa.

Leo ndo tumerudiana baada ya wiki Juzi kuzinguana, vibaya mno.
Ananiomba Ela ya kuboost biashara yake afu eti ananiwekea na DEADLINE.

Na deadline line imefika,
Namweleza asubiri nitoke msibani, yeye analazimisha Ela itumwe Kwenye simu sikU Iyo iyo.

Anasema ikishindikana, ataenda kuomba msaada kwingine na nisije mlaumu.
(NMEMJIBU,
" Wee Nenda tu hata hainistui coz utakaoumia ni uchi wako na najua kwangu you are always after your something"

Na Tena anafoka eti,
Nimekua mwanaume asiyena msaada kwake kila anapokwama,

Ila
Anasahau kua hata Iyo biashara inayoleta chokochoko,
-wazo nimempa Mimi, baada ya kuchoka kua ananiomba omba Ela ovyo.
-mzigo wake wa kuanzia nmechangia Zaid ya 50%,
-Kodi ya fremu miezi 6 ya Kwanza nmemlipia mimi,
- anakonunua mzigo nmemuunganisha Mimi.
-usafirishaji wake, ushuru, clearance n.k kwa mizigo yake kila akiagiza nagharamia Mimi maana anaviziaga nnapoagiza mizigo yangu anaomba na yeye mzgo wake nimuunganishie. Kwaiyo hatoi hata Mia.

Yaani uyu kiumbe Hana shukrani kabisa,

Bad enough,
Afu alivoking'anizi eti anataka tuzae mtoto.

Kiukweli,
Nikifanya kosa la kumzalisha mwanamke kichwa box Kama huyu,

Ntakua nmeikosea Sana damu yangu kumchagulia mama MBINAFSI Kama uyu.
Mkuu naomba connection
 
Huyo dada hakumpenda jamaa,ila mwanamke akikupenda NYIEEEE
Back to me mama watoto hana kazi ni mama wa nyumbani,ila can u imagine huwa anabana hela ninayomuachia then ananichukulia zawadi kali sana,,halafu ukichek hela ninayomuachia ni kuduchuu mno
Mwanaume ampende mke wake
Mwanamke amheshimu mume wake.
 
Ilinikuta few years ago niliuza geto nikahamia kwa manzi angu nikiwa Sina direction

Asee ilikua nikipakuliwa msosi no addition na manzi alikua mchungu balaa kila muda alikua ananiwakia hatari

Nilikaa one wiki nikaona Ni ungese nikahamia kwa masela geto.
Exactly,
yaan Kuna Wanawake wanaroho mbaya Sijui walizaliwaje.

Ni Kama uyu mwanamke nlokua namsimulia apa,

Mwezi march alikua anataka tv Samsung smart 50" afu analia Hana ela,

Kwakua Ni mpenz wangu,
Nkamwambia usinunue Hapa. sikU naagiza wee niandalie dola 250 ntakuchukulia Kwa Bei ya JUMLA niunganishe na mizigo yangu uipate kwa Bei nafuu sana.

Akafurahi na ile Ela akanipatia,
Sasa kwa Changamoto za covid nikakwama kurudi kwa wakati.

Aisee,
mwanamke alianza kejeli, matusi dharau na maneno ya shombo kibao.
Mara ooh
"uko na Malaya wako uko anasingizia covid"
"Yaan unatumia Ela zangu kutumbua na hao Malaya zako unanidanganya uko safar"
"Kama imeshndikana Naomba urudishe Ela zangu nikanunue kwingine"
"Nawajua nyie wafanyabiashara ndo zenu, hamna Cha tv Wala Nini, Ulitaka Ela zangu uzungushie upate faida. Mi sip mjinga kias icho."

NKAONA ISIWE TABU,
NKAFANYA utaratibu nikamtumia tu pesa zAke.

sikU so nyingi, Akapata shida inayohitaji dola 800.

Akajirudi anaomba msamaha, nimuazimishe pesa Eti Nafsi inamsuta.

Yaan wanawake wa style hii, Sijui aliwaroga nani
 
Wanaume wanatuita mbwaa ila wanawake wanaitwa nyoka tafakarii vzr kwann wanasema hivyoo
 
Kama mwanamke sio Mke Wako na HAUJAMZALISHA WATOTO. usimsomeshe.. usimuanzishie biashara, na hakika usijenge kabisa kwao.. ni hela ya chipsi tu ndio umpe..
Hata mkeo hakuna kumfungulia biashara wala kumsomesha
Wazazi wake hawakumfungulia biashara wanajua ujinga wa binti yao.
 
Hizo fedha ukute mama wa jamaa huko kijijini hata genge hajafunguliwa hata shamba hana, nyumba mbovu imelalia upande mmoja,

Kuna watu watu ni washamba wa mademu sana,
 
Exactly,
yaan Kuna Wanawake wanaroho mbaya Sijui walizaliwaje.

Ni Kama uyu mwanamke nlokua namsimulia apa,

Mwezi march alikua anataka tv Samsung smart 50" afu analia Hana ela,

Kwakua Ni mpenz wangu,
Nkamwambia usinunue Hapa. sikU naagiza wee niandalie dola 250 ntakuchukulia Kwa Bei ya JUMLA niunganishe na mizigo yangu uipate kwa Bei nafuu sana.

Akafurahi na ile Ela akanipatia,
Sasa kwa Changamoto za covid nikakwama kurudi kwa wakati.

Aisee,
mwanamke alianza kejeli, matusi dharau na maneno ya shombo kibao.
Mara ooh
"uko na Malaya wako uko anasingizia covid"
"Yaan unatumia Ela zangu kutumbua na hao Malaya zako unanidanganya uko safar"
"Kama imeshndikana Naomba urudishe Ela zangu nikanunue kwingine"
"Nawajua nyie wafanyabiashara ndo zenu, hamna Cha tv Wala Nini, Ulitaka Ela zangu uzungushie upate faida. Mi sip mjinga kias icho."

NKAONA ISIWE TABU,
NKAFANYA utaratibu nikamtumia tu pesa zAke.

sikU so nyingi, Akapata shida inayohitaji dola 800.

Akajirudi anaomba msamaha, nimuazimishe pesa Eti Nafsi inamsuta.

Yaan wanawake wa style hii, Sijui aliwaroga nani
Unatengeneza stress BP na umaskini.
Acha kutafuta hela tafuta sababu za kukimbia hicho kifungo.
 
Hizo fedha ukute mama wa jamaa huko kijijini hata genge hajafunguliwa hata shamba hana, nyumba mbovu imelalia upande mmoja,

Kuna watu watu ni washamba wa mademu sana,
Yes kuna watu wa hovyo sana dunia hii. Na ndio maama hata mademu wenyewe wanawadharau.

Huyo demu anamdharau sana jamaa.

ukiwa mwanaume unapenda sana K kila mwanamke atakufanya kuwa mtumwa.
 
Ubarikiwe sana bidada. Dunia hii ya leo ni nadra sana kumsoma au kumsikia mwanamke akisema haya. 🙏🏾

Nina shost yangu ni mfanyabiashara mzuri tu wa nafaka na anaingiza faida nzuri kwa sasa.
Ana mtu wake ambaye alisimama bega kwa bega kuhakikisha anafika hapo alipo. Huyo mtu wake kipindi hicho aliamua kuwekeza akili, mawazo na hela kwaajili ya kuhakikisha mpenzi wake anasimama kibiashara. Kweli bi shost wangu alifanikiwa kufikia malengo kwa msaada wa huyo shem.

Bahati mbaya mwaka jana mtu wake akasimamishwa kazi ghafla. Mpaka hivi sasa hajafanikiwa kupata kazi sehemu nyingine. Kama mmavyofahamu hapa dar maisha yalivyo magumu...mkaka wa watu anaishi kwa kuunga unga. Kinachonishangaza ni kuwa huyu mtu wake ambaye ni shost yangu, haonyeshi ushirikiano kwenye matatizo aliyonayo mtu wake. Kwa bahati mbaya, anamsema vibaya akiwa na sisi mashost zake.

Kwa story zake anadai mtu wake inafikia hatua anaweza kushinda siku mbili hajala kwa kukosa hela ya chakula. Na anachosema huyu best yangu ni kuwa huyo mtu wake wala hajawahi kumuomba msaada wowote. Mimi namuambia akuombe msaada kivipi wakati hali yake unaijua na unaweza ukamsitili? Anachojibu ndicho kilichonifanya nije nianzishe thread hapa. Anasema apambane na hali yake.

Huu ubinafsi tulionao utatufanya tuendelee kuona wanaume hawafai japo na mimi nimetendwa na mwanaume kiasi cha kunifanya niogope kuingia kwenye mahusiano mengine.

Ushauri wangu kwa wanawake wenzangu. Wanaume ni bidhaa adimu ambayo kipata na kuishikilia ikawa yako, ni bahati sana. Ndio maana mimi wa kwangu nilitaka nianze naye chini, lakini alinigeuka. Sijui alifikwa na nini, mpaka leo sipati jibu
 
Back
Top Bottom