Haikuwa, kwani kuna baadhi ya ubinafsishaji JKN alipinga hadharani lakini raisi kama mtu mwenye maamuzi ya mwisho kwenye hili alitaifisha.Je, ubinafsishaji wa mashirika ya umma ulikuwa ni sehemu ya kumuenzi Mwalimu Nyerere?
Asante kutukumbusha. Kumuenzi Baba wa Taifa:CCM, Serikali, Viongozi na Watanzania kwa Ujumla, Je Tunamuenzi Baba wa Taifa kwa Mawazo, Maneno na kwa Vitendo?, Tunamuishi?.BWM. rest in peace.
Moja ya mambo makubwa aliyofanya hayati Mkapa bila kujali kama yalileta tija au yalitia hasara ni Ubinafsishaji wa Mashirika ya Umma.
Kama ilivyozoeleka kwa marais waliofata baada ya Mwalimu Nyerere, mambo mengi wamekuwa wakiyafanya kwa ajili ya nchi na kujinasibu kuwa wanafanya hivyo kumuenzi Baba wa Taifa.
Je, ubinafsishaji wa mashirika ya umma ulikuwa ni sehemu ya kumuenzi Mwalimu Nyerere?