Martyr 360
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 433
- 660
Mimi niliposikia sakata la ubinafsishaji wa Bandari ilibidi nifaatilie mataifa mengine ambayo yaligundua Bandari zao hazifanyi vizuri wakazibinafsisha sasahivi zinaongoza kwa kufanya vizuri.
Kwahiyo suala la Bandari kubinafsishwa ni jambo la busara na hekima ya hali ya juu na naamini damu na nyama haikumfunulia hili bali Mungu wa mbinguni.
Tatizo ni utekelezaji wake, Rais Samia hakufata taratibu za nchi katika namna ya kutafuta mwekezaji, siyo kwamba yeye akatafute mtu wake wakubaliane huko halafu aje ashawishi Bunge likubaliane na mwekezaji!
Hhapa ndio kulikuwa na makosa makubwa lakini nadhani Rais Samia kama alipata wazo la kubinafsisha Bandari ilifaa alete Bungeni lijadiliwe, likipita aachie mifumo itafute mwekezaji yenyewe.