Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Wakati wowote kuanzia sasa tutarajie ardhi iliyoko mikononi mwa NDC na NAFCO kukabidhiwa wageni kwa visingizio mashirika tajwa yanatutia hasara.
Serikali itayafuta mashirika tajwa na kuwauzia waarabu wa Dubai ardhi ya taasisi tajwa kwa bure hata sumni hawatatoa.
Kinachopiganiwa hapo ni watawala kujimilikisha ardhi wao wenyewe kwa mgongo wa wawekezaji.
Kwa hii sera ya kuongeza mapato zaidi ya serikali huku raia wanafukarishwa kunachochea machafuko ya wenyewe kwa wenyewe.
Ardhi ni eneo linaloajiri watu wengi kwa kuwamilikisha ardhi wageni na watawala maana yake ni kuzalisha umanamba wa vijana wetu.
Sijui tutazinduka lini nchi inauzwa kila siku na siyo lwa manufaa yetu