Tetesi: Ubinafsishaji wa NDC na NAFCO uko jikoni kisa ni ardhi yao

Tetesi: Ubinafsishaji wa NDC na NAFCO uko jikoni kisa ni ardhi yao

Unadhani mimi ni mjinga wa kuokotwa okotwq hovyo na siasa zenu za uzandiki na majitaka hizo?

Weka ushahidi hapa nani anataka kumilikishwa hizo ranchi? Acha kurukaruka
NBC hujui inamilikiwa na nani? Kama hujui kanywe togwa. Kama hujui Barrick Gold Tanzania ni ya akina nani basi kabugie ulanzi.

Kama hujui vodacom ni akina nani basi kauchape.

Kuna siku Julian Asange atakujuza kupitia wikileaks
 
Wakati wowote kuanzia sasa tutarajie ardhi iliyoko mikononi mwa NDC na NAFCO kukabidhiwa wageni kwa visingizio mashirika tajwa yanatutia hasara...
NDC kwa maana ya National Defense College ya wanajeshi ile au unaongelea NDC ipi?
 
Mtoto wako atakuwa manamba subiri inakuja
Sijakuelewa.

AlhamduliLlah wanangu wapo sehemu amabayo hata kama hawana kazi wanalipwa na wanatafutiwa kazi. Mwenyezi Mungu wawazidishie.

Bongo wakija wanakuja Royal Tour tena na visa wanalipia kwa dolari.
 
Kwanini ardhi hiyo wasigawiwe raia kwanini wawekezaji wawe ni wageni tu?
Hivi haujuwi kuwa wakati huu wa mama samia watu wanagaiwa mpaka eka 10 butre, wanajengewa, wanawekewa miudo mbinu ya shamba, wanawekewa miundo mbinu ya maji na wanapewa hati ya miaka 66.

Haijawahi kutokea.

Nakushauri pitia mipango ya BBT ya Basshe kabla hujakurupuka. Kuna maajabu Msomali (Bashe) na Mwarabu (mama) wanayafanya.

Tanzania ya leo siyo unayoielewa. Tazama ardhi zinafanywa nini sasa hivi:

 
Matahira ya CCM yenye akili tope Kama zako na Bi kirembwe ndio hawana akili.
Hilo wala siyo tatizo la mmoja Tanzania hii, utafiti uansema Watanzania 80% ni machizi, tatizo wengine walionbaki ni wajinga na wehu. Wazima nia asilimia 2 tu.

Sasa jitazame wewe upo kundi lipi?
 
Back
Top Bottom