Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Huyu Nehemiah Msechu si ndiye alikuwa wakati wa Mkapa yuko kwenye kitengo cha ubinafsishaji?Hii kazi amepewa Nehemiah Mchechu makusudi.
Ndio ile list ya mashirika ya umma anayoiandaa ili yafutwe, kwa kauli ya Rais Samia aliyosema yanaendeshwa kwa hasara...
Hayo Mashirika lini yamejiendesha kwa ufanisi ? Tuanzie hapo?Wakati wowote kuanzia sasa tutarajie ardhi iliyoko mikononi mwa NDC na NAFCO kukabidhiwa wageni kwa visingizio mashirika tajwa yanatutia hasara.
Serikali itayafuta mashirika tajwa na kuwauzia waarabu wa Dubai ardhi ya taasisi tajwa kwa bure hata sumni hawatatoa.
Kinachopiganiwa hapo ni watawala kujimilikisha ardhi wao wenyewe kwa mgongo wa wawekezaji.
Kwa hii sera ya kuongeza mapato zaidi ya serikali huku raia wanafukarishwa kunachochea machafuko ya wenyewe kwa wenyewe.
Ardhi ni eneo linaloajiri watu wengi kwa kuwamilikisha ardhi wageni na watawala maana yake ni kuzalisha umanamba wa vijana wetu.
Sijui tutazinduka lini nchi inauzwa kila siku na siyo lwa manufaa yetu
Hayo Mashirika lini yamejiendesha kwa ufanisi ? Tuanzie hapo?
Kama kufanya uwekezaji kutayaongezea ufanisi kuna shida gani?
Kuwamilikisha watawala kwa mgongo wa wageni ndiyo shida. Hii ni mali yetu sote.Hayo Mashirika lini yamejiendesha kwa ufanisi ? Tuanzie hapo?
Kama kufanya uwekezaji kutayaongezea ufanisi kuna shida gani?
Wewe ni mtanganyika kweli tangia lini kuwamilikisha wageni rasimali za nchi kukawa na faida?Utaratibu wa manunuzi ya mali/mashirika ya umma ufuatwe. Pia manufaa kwa pande zote yazingatiwe.
Tupe uthibitisho kuwa wanaomilikishwa ni watawalaKuwamilikisha watawala kwa mgongo wa wageni ndiyo shida. Hii ni mali yetu sote.
Hata hayo watawamilikisha waarabu wa Dubai ila tunajua msukumo ni wao wenyewe ndiyo watakuwa wamiliki halisi.Hii Serikali ni ya kimaku sana!,
Inashindwa kubinafsisha mashirika yasiyo na tija kama TANESCO inaenda kubinafsisha Bandari na mashirika yenye tija kwa mtu wa kipato cha kawaida....
Amini nakwambia ingebinafsisgwa Tanesco hizi kelele zisingekuwepo....
Tanesco na @TTCL Ni mashirika hovyo kabisa!!!
Poor customer service wanafanya Kazi wanavyojiskia
Sasa kama mashirika yanashingwa kujiendesha kwanini yasibinafsishe?Wakati wowote kuanzia sasa tutarajie ardhi iliyoko mikononi mwa NDC na NAFCO kukabidhiwa wageni kwa visingizio mashirika tajwa yanatutia hasara.
Serikali itayafuta mashirika tajwa na kuwauzia waarabu wa Dubai ardhi ya taasisi tajwa kwa bure hata sumni hawatatoa.
Kinachopiganiwa hapo ni watawala kujimilikisha ardhi wao wenyewe kwa mgongo wa wawekezaji.
Kwa hii sera ya kuongeza mapato zaidi ya serikali huku raia wanafukarishwa kunachochea machafuko ya wenyewe kwa wenyewe.
Ardhi ni eneo linaloajiri watu wengi kwa kuwamilikisha ardhi wageni na watawala maana yake ni kuzalisha umanamba wa vijana wetu.
Sijui tutazinduka lini nchi inauzwa kila siku na siyo lwa manufaa yetu
NBC hujui inamilikiwa na nani? Kama hujui kanywe togwa. Kama hujui Barrick Gold Tanzania ni ya akina nani basi kabugie ulanzi.Tupe uthibitisho kuwa wanaomilikishwa ni watawala
Wewe ni mtanganyika kweli tangia lini kuwamilikisha wageni rasimali za nchi kukawa na faida?
Hakuna faida unapowamilikisha wageni ingelikuwepo leo hii nchi hii ingelikuwa tajiri sanaaaaaaaLabda sijakuelewa bro, Wanawamilikisha au kuwakodishaa? Lkn cha msingi faida ziwe kwa pande zote mbili.
Ila uzoefu unaonesha, kiongozi akitokea upande mwingine wa bahati, wana kawaida kutapanya mali. Mfano ni kule bustani ya wanyama mwitu.
Sasa kama mashirika yanashingwa kujiendesha kwanini yasibinafsishe?
Tanzania hakuna mwenye ardhi kuna watumiaji wa ardhi, ardhi yote ipo chini ya serikali kuu.
Mtoto wako atakuwa manamba subiri inakujaSasa kama mashirika yanashingwa kujiendesha kwanini yasibinafsishe?
Tanzania hakuna mwenye ardhi kuna watumiaji wa ardhi, ardhi yote ipo chini ya serikali kuu.
Matahira ya CCM yenye akili tope Kama zako na Bi kirembwe ndio hawana akili.Sasa kama mashirika yanashingwa kujiendesha kwanini yasibinafsishe?
Tanzania hakuna mwenye ardhi kuna watumiaji wa ardhi, ardhi yote ipo chini ya serikali kuu.
Sijui kabla ya Kikwete alikuwa wapi .Huyu Nehemiah Msechu si ndiye alikuwa wakati wa Mkapa yuko kwenye kitengo cha ubinafsishaji?
Kwanini ardhi hiyo wasigawiwe raia kwanini wawekezaji wawe ni wageni tu?Kwa hiyo njia pekee ya kuepuka hasara kwa makampuni hapo ni kubinafsisha?
Nimemkumbuka iko kaziSijui kabla ya Kikwete alikuwa wapi .
Ila JK alimtoa ktk sekta binafsi huko , mwaka 2010, ndio akapewa NHC, hadi alipokuja kuwekwa pembeni na JPM
Samia appoints Nehemia Mchechu Treasury registrar
Prior to the new post, Mchechu was the director general of the NHC.www.thecitizen.co.tz
View attachment 2717264
View attachment 2717268
Halafu kaja kurudishwa na Samia, na badae kumuhamishia huko HAZINA