Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #21
Kabisaaaaaa hawajui wako wapi na wanaenda wapiMatahira ya CCM yenye akili tope Kama zako na Bi kirembwe ndio hawana akili.
NBC hujui inamilikiwa na nani? Kama hujui kanywe togwa. Kama hujui Barrick Gold Tanzania ni ya akina nani basi kabugie ulanzi.
Kama hujui vodacom ni akina nani basi kauchape.
Kuna siku Julian Asange atakujuza kupitia wikileaks
Kwanini ardhi hiyo wasigawiwe raia kwanini wawekezaji wawe ni wageni tu?
NDC kwa maana ya National Defense College ya wanajeshi ile au unaongelea NDC ipi?Wakati wowote kuanzia sasa tutarajie ardhi iliyoko mikononi mwa NDC na NAFCO kukabidhiwa wageni kwa visingizio mashirika tajwa yanatutia hasara...
Sijakuelewa.Mtoto wako atakuwa manamba subiri inakuja
Hivi haujuwi kuwa wakati huu wa mama samia watu wanagaiwa mpaka eka 10 butre, wanajengewa, wanawekewa miudo mbinu ya shamba, wanawekewa miundo mbinu ya maji na wanapewa hati ya miaka 66.Kwanini ardhi hiyo wasigawiwe raia kwanini wawekezaji wawe ni wageni tu?
Hilo wala siyo tatizo la mmoja Tanzania hii, utafiti uansema Watanzania 80% ni machizi, tatizo wengine walionbaki ni wajinga na wehu. Wazima nia asilimia 2 tu.Matahira ya CCM yenye akili tope Kama zako na Bi kirembwe ndio hawana akili.