Yanga bado anaongoza kwa kuchukua ubingwa wa Tanzania,pia Yanga anaongoza kumfunga Simba mechi nyingi
Full kujifariji!Kumpiga Ndala ndo raha !! Hi kila mtu anajua
Kwa Tz Yanga apigwe tu.Kama fedha inayoambatana na ubingwa hailingani na fedha inayotumika kwenye usajili,na siku zote bingwa huwa anaishia hatua za mwanzoni kwenye mashindano ya Afrika.Sasa jambo la kujiuliza kipi kinaleta raha,Ubingwa au ushindi katika mechi ya simba na yanga?
raha mno kumfunga ndala.Yanga kachua 70mln.Kwenye mtani jembe Simba kachukua 77 mln
raha mno kumfunga ndala.Yanga kachua 70mln.Kwenye mtani jembe Simba kachukua 77 mln
Kwa Tz Yanga apigwe tu.
raha mno kumfunga ndala.Yanga kachua 70mln.Kwenye mtani jembe Simba kachukua 77 mln
mapinduz cup simba kachukua ngap
Mkuu pole sana, lakini ndio hivyo watani Yanga ndio Bingwa tena mapemaaa.....watani endeleeni kuijenga Simba YOSSO.....inshallah ipo siku mtaona mwezi.......ila kwa sasa YANGA ndio habari ya MUJINI!
Ukiifunga simba pekee huwi bingwa ila ukikusanya point za kutosha ikiwemo kamfunga Simba utakuwa bingwa.
Mbn ulaya hawasemagi bila kamfunga man au arsenal au Liverpool ubingwa sio mtamu