Ubingwa na ushindi katika mechi ya Simba na Yanga bora nini?

Ubingwa na ushindi katika mechi ya Simba na Yanga bora nini?

... pia Yanga anaongoza kumfunga Simba mechi nyingi
Mbona mechi ya Simba na Yanga ikiisha huwa hatuoni washabiki wa Yanga wakishangilia na kufurahia hilo la kuifunga Simba mara nyingi, badala yake tunasikia tu kocha amefukuzwa?
 
Ukitaka kujua kipi kinaathiri maisha ya watu, chukua idadi ya watu wanaozimia kwa kukosa ubingwa ulinganishe na idadi ya watu wanaozimia kwa kufungwa na mtani wake.
 
Tokea nianze kufuatilia mpira sijawai kusikia shabiki yeyote wa mpira anajiua kwa kukosa ubingwa ila mara nyingi wanajiua kwa kufungwa.
Kwa akili zenu hizi ndo mana mukatumia 153 milion ZNZ kwa kujiandaa na Yanga wakati huo unadaiwa zaidi ya 200 mil unashindwa kulipa upande mwingine munasema mapato munayopewa na Azam Tv ni madogo wakati mwanzo mulisema ni nyingi mukapingana na Yanga
 
Kama fedha inayoambatana na ubingwa hailingani na fedha inayotumika kwenye usajili,na siku zote bingwa huwa anaishia hatua za mwanzoni kwenye mashindano ya Afrika.Sasa jambo la kujiuliza kipi kinaleta raha,Ubingwa au ushindi katika mechi ya simba na yanga?

We mji.nga unaweza sema mke uliye oa na mke wa kufumaniwa yupi bora??
 
Kuanzia 1998,kurudi nyuma bingwa alikuwa hapati chochote...je simba ilikuwa haishiriki mashindano?...,mwisho wa siku ubingwa ni title zaidi ya kile unachopata....nakupa home work fatilia matumizi ya timu za ulaya haswa timu kubwa alafu trace bingwa anapata nini...alafu jibu baki nalo mwenyewe
 
Tatizo watu wameanza kufuatilia mpira juzi. Kibaya zaidi hawana akili ya kujisomea na kutafuta takwimu za siku za nyuma.
Hivi ubingwa wa nchi nani kuchukua mara nyingi zaidi?
Mechi zote za mikia na Yanga,nani kashinda mechi nyingi zaidi hadi sasa?
Mbumbumbumbu mfiche vitabu tu atabaki kuropoka tu.
 
Mbona mechi ya Simba na Yanga ikiisha huwa hatuoni washabiki wa Yanga wakishangilia na kufurahia hilo la kuifunga Simba mara nyingi, badala yake tunasikia tu kocha amefukuzwa?

Inaonekana bado kijana mdogo,Simba umeijua hivi karibuni
 
We mji.nga unaweza sema mke uliye oa na mke wa kufumaniwa yupi bora??

Ila uzoefu unaonesha washabiki ufurahia zaidi ushindi kwenye mechi za watani wa jadi kuliko ubingwa.Ndio maana kuna watu wameshawahi kupoteza maisha kwa sababu ya kufungwa,lakini sijawahi kusikia mtu aliyezirai kwa kukosa ubingwa
 
Back
Top Bottom