raha mno kumfunga ndala.Yanga kachua 70mln.Kwenye mtani jembe Simba kachukua 77 mln
Mbona mechi ya Simba na Yanga ikiisha huwa hatuoni washabiki wa Yanga wakishangilia na kufurahia hilo la kuifunga Simba mara nyingi, badala yake tunasikia tu kocha amefukuzwa?... pia Yanga anaongoza kumfunga Simba mechi nyingi
Kwa akili zenu hizi ndo mana mukatumia 153 milion ZNZ kwa kujiandaa na Yanga wakati huo unadaiwa zaidi ya 200 mil unashindwa kulipa upande mwingine munasema mapato munayopewa na Azam Tv ni madogo wakati mwanzo mulisema ni nyingi mukapingana na YangaTokea nianze kufuatilia mpira sijawai kusikia shabiki yeyote wa mpira anajiua kwa kukosa ubingwa ila mara nyingi wanajiua kwa kufungwa.
Kama fedha inayoambatana na ubingwa hailingani na fedha inayotumika kwenye usajili,na siku zote bingwa huwa anaishia hatua za mwanzoni kwenye mashindano ya Afrika.Sasa jambo la kujiuliza kipi kinaleta raha,Ubingwa au ushindi katika mechi ya simba na yanga?
Mbona mechi ya Simba na Yanga ikiisha huwa hatuoni washabiki wa Yanga wakishangilia na kufurahia hilo la kuifunga Simba mara nyingi, badala yake tunasikia tu kocha amefukuzwa?
Watu walioishiwa hoja hubaki kujivunia umri!Inaonekana bado kijana mdogo,Simba umeijua hivi karibuni
We mji.nga unaweza sema mke uliye oa na mke wa kufumaniwa yupi bora??