ubingwa wa enyimba champions league 2003, na mamelodi 2016 kama naiona kwa simba vile . Babra na Mo wananitisha mimi Mwanayanga

Enyimba iko wapi siku hizi ama tajiri alijitoa vp pia timu za waarabu mbona hazichukui sana caf champions na hela wako vzr
Timu za uarabuni zinaongoza kuchukua makombe ya caf champions.

Caf champions ilianza mwaka 1965, mpaka sasa ni miaka 55 tangu ianza.

Timu kutoka misri, tunisia, algeria na moroko zimetwaa kombe hili mara 31. Tangu miaka ya 90 africa kaskazini inatawala kwenye michuano ya vilabu afrika.
 
Mamodel wa humu huwa wanamihemko ya ajabu,sasa Uzi kama huu unafutwa kwa tatzo lipi
 
Kuhama nchi mpaka uwe na passport?
Team vyura mnateseka sana sijui kwann watu tupo champions league tena group stage na tunaongoza ninyi mnabaki kulia lia tu mara simba sijui nn
 
Simba jifunzeni kwanza kushinda away games Tena wakiwa na mafans wao ndo muanze kuongelea habar za ubingwa wa caf
 
Mamelodi pia waliamua kumpa timu mzee Motsepe.

Hii Mamelodi Sundown almaarufu "Masandawana" ima "The Brazilians" ni project ya Motsepe mwenyewe. Hakupewa na watu wengine.

Model yake ni kama Azam FC.

Sio kweli... mamelodi sundowns imeanzishwa 1970, yaani miaka 51 iliyopita.. ni timu ya wanachama..

Motsepe aliuziwa share 51% mwaka 2004.. ila akawa anaiendesha bila kuwekeza sana... mwaka 2013 ndipo alipoamua kusajili watu wa gharama na kubadili managememt ya timu.. tangu hapo mamelodi ikaanza kutawala soka kuwapita wakongwe kina orlando pirates na kaizer chiefs.. na miaka mitatu mbele yaani mwaka 2016 ndipo mamelodi akatwaa caf champions league kwa mara ya kwanza.. na hiyo siku mzee motsepe alivua shati na kubaki tumbo wazi kwa furaha...

Mzee motsepe aliuziwa share na wanachama mwaka 2004 .. yeye ni mmiliki wa asilimia 51.. sio model ya azam.. mamelodi ina miaka zaidi ya 50 tangu ilipoanzishwa..
 
Na nina wasiwasi Mo kaangalia izo documentary za enyimba na mamelodi nayeye kaamua kupita humohumo........
 
Nimeikumbuka Yanga ya Manji, ilifika hatua Yanga ikawa inawatambia Simba kwa kujiita wakimataifa, maana walishiriki kila mwaka kombe mojawapo la Afrika huku Simba ikiishia hapa nchini.

Baada ya kufulia, wakaachana na jina wakimataifa na kujiita timu ya wananchi maana walianza kutoza sadaka katika kila mechi.
 
Wako watu yanga wanatakiwa kuondoka haraka sana pia as YOUNG funny hatujapata mdhamini wa kikweli kweli tulionao ni wapigaji tu
 
Yanga itafanya vizur hadi pale watakapo utoa mwiko huko nyuma vingnevyo mwiko utawatesa sana
 
Simba akiingia hata nusu fainali nahama nchi. Save my comment.
kwa taarifa yk tu hadi sasa simba ndio team iliyoshinda michezo miwili mfululizo kwenye mashindano haya hakuna nyingine hata kwenye makundi mengine hakuna....chunga kauli jombaaa
 
MO anamiliki hisa 49%, wanachama 51%. bado timu ni ya wanachama
Kumbuka kwenye hizo hamsini na moja share na yeye yupo kama mwanachama!! Ndugu zake wote ni wanachama!! Wahindi wameweka mtego, siku Simba itakapo anza kuuza share rasmi!!, Mtego ndio utateguka na timu kuwa ya kanjibahi and co.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…