F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Mar 4, 2021 Thread starter #41 formula2 said: Mleta uzi alindwe kwa vifaru vya kijeshi ni tunu ya Taifa.Hivi ndio vichwa vya kupewa vitengo.Nimekuvisha nyota zote na saaa na kifimbo na mwenge.Huu ndio uchambuzi sio kama wa mashoga wale kina Edgar Kibwana au kichwa kikubwa kama mkubwa wa siafu. Click to expand... Leo tumefungwa na msolla yupo yupo tu
formula2 said: Mleta uzi alindwe kwa vifaru vya kijeshi ni tunu ya Taifa.Hivi ndio vichwa vya kupewa vitengo.Nimekuvisha nyota zote na saaa na kifimbo na mwenge.Huu ndio uchambuzi sio kama wa mashoga wale kina Edgar Kibwana au kichwa kikubwa kama mkubwa wa siafu. Click to expand... Leo tumefungwa na msolla yupo yupo tu
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Mar 4, 2021 Thread starter #42 Smart911 said: Ngoja tuone... Click to expand... Ndio tumeanza kuona msolla na kipenz chake kaze wanavyoiua yanga
Smart911 said: Ngoja tuone... Click to expand... Ndio tumeanza kuona msolla na kipenz chake kaze wanavyoiua yanga
MLA PANYA SWANGA JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 5,184 Reaction score 5,435 Mar 6, 2021 #43 Mr_X said: Simba jifunzeni kwanza kushinda away games Tena wakiwa na mafans wao ndo muanze kuongelea habar za ubingwa wa caf Click to expand... Kwani uliona hatushindi. Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Mr_X said: Simba jifunzeni kwanza kushinda away games Tena wakiwa na mafans wao ndo muanze kuongelea habar za ubingwa wa caf Click to expand... Kwani uliona hatushindi. Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
N njaakalihatari JF-Expert Member Joined Feb 12, 2019 Posts 4,081 Reaction score 8,671 Mar 6, 2021 #44 kidunula1 said: No kapewa Simba na nani!? Click to expand... senzo mbatha