Ubingwa wa Kilimanjaro Queens ni AIBU kwa TFF na nchi nzima

Voiced Voice

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2018
Posts
248
Reaction score
249
Wakati bado tunasherehekea ubingwa wa waliopigania dada zetu nadhani inabidi tuwekane sawa. Ni ukweli usiofichika kuwa TFF na wadau wa michezo kwa ujumla wanawekeza fedha, mawazo, na akili zao zote kwa timu za wanaume. Soka la wanawake limekaa kiyatima yatima tu huku la wanaume likitawala vyombo vya habari na mitandao ya kijamii yote. Hata haya mashindano ya Afrika mashariki ilikua nadra sana kukutwa habari zake kwenye vyombo vya habari vya tanzania. Kila gazeti, redio na television imejaa Ali Kiba aenda Coastal Union, Simba Uturuki, Yanga yasajili na umbea mwingine kama huo.

Nani sasa anaweza kujivunia ubingwa wa akina dada hawa? Nadhani ni wao tu, wao na mungu wao, kocha wao na benchi la ufundi. Mchango ambao TFF inautoa kwa timu hii ukilinganisha na ule wa ile 'kichwa cha mwendawizimu" utajua kwa nini nasema TFF hawapaswi kusheherekea wala kujivunia. Wamewekeza kidogo sana kwenye timu ya wadada huku wakipoteza nguvu nyingi kwa timu ya wanaume. LAKINI mavuno waliyovuna kutoka kwa hawa wadada ni heshima kubwa ya kujivunia.
Kwa anayejua mpira wa miguu na amewaona hawa Kilimanjaro queens ataniunga mkono kuwa wanasakata soka na wanaari ya ushindi. Kwanza wanajituma na wanatafuta ushindi kwa nguvu zote. Sasa wale wenzetu na sisi ambao huwa wanacheza huku wakiwaza fedha za MO na Manji waleee, kwanza huwa hawajitumi, wanacheza kutimiza dakika 90 tu, wapo uwanjani kama hawapo. Cha ajabu huko kwa wasiojituma ndiko tumewekeza nguvu zote zote. AIBU SANA. Hawa wadada hata mechi wanazoshindwa ukiangalia wanashindwa 'kiume'. Wanapambana hadi hatua ya mwisho. Naomba angalia goli ya nne lilifungwa dhidi ya Ethiopia kisha utafakari kama kuna mtu Taifa stars kule angekua na nia ya kufunga na akapambana kama aliyoionesha Fatuma Mustapha huku wakiwa mbele kwa magoli matatu kwa moja.
Tunahaja ya kuona aibu na kuamua kuwekeza nguvu kwenye biashara inayolipa. Wahindi wamewekeza kwenye cricket sio wajinga. Hebu tuachane na huuu ukichwa wa wendawazimu, TUWEKEZE KWENYE SOKA LA WANAWAKE ZAIDI MAANA WAO NDIO WENYE NIA YA KULIWAKILISHA VEMA TAIFA.
 
Chochote kinachoungwa mkono na Serikali au Tff lazima kifeli ili jambo liende vizuri tz liachwe lijiendeshe lenyewe, na kumbuka Cheka alipambana peke yake hadi akatwaa u bingwa wa ngumi duniani, lakini alipoungwa mkono tu, ikawa ndio mwisho wake kutamba na hadi Leo ngumi hazina mafanikio hata tone. England walitengwa na Wananchi wao World cup, ila walipoingia Nusu fainali wananchi na serikali wakawaunga mkono, kilichotokea mnajua, wakasema labda mshindi wa tatu, wapi . ni wazi kuna vitu ili viende vizuri mvisahau tu. Ni hii hii timu iliungwa mkono tukawajua hadi first eleven yao lakini walibuma mapema tumewasusa sasa wanatetea ubingwa kila mwaka. Taifa stars tuisahau itatamba
 
Umeongea point kubwa sana,soka la wanawake limesahaulika sana,ni vizuri kuwekeza kwenye kitu kinacholipa,hata wale watoto wa mtaani walisahaulika hivyo hivyo wamekuja kusikika wako fainali ndo tukaanza kujivunia,ni wakati wa kubadilika kwa kweli!!
 
Chochote kinachoungwa mkono na Serikali au Tff lazima kifeli ili jambo liende vizuri tz liachwe lijiendeshe lenyewe, na kumbuka Cheka alipambana peke yake hadi akatwaa u bingwa wa ngumi duniani, lakini alipoungwa mkono tu, ikawa ndio mwisho wake kutamba na hadi Leo ngumi hazina mafanikio hata tone. England walitengwa na Wananchi wao World cup, ila walipoingia Nusu fainali wananchi na serikali wakawaunga mkono, kilichotokea mnajua, wakasema labda mshindi wa tatu, wapi . ni wazi kuna vitu ili viende vizuri mvisahau tu. Ni hii hii timu iliungwa mkono tukawajua hadi first eleven yao lakini walibuma mapema tumewasusa sasa wanatetea ubingwa kila mwaka. Taifa stars tuisahau itatamba
Hilo nalo neno
 
Kila kitu ni lawama,hapo walipofika walifikaje?[/QUOT
Huwezi kulinganisha huduma ya TFF kwa wanawake na ile wanayotoa kwa Taifa stars. Na muda mwingine uwe unakua tayari kupokea lawama hasa zinazokujenga. Kwa mwenye kuelewa sawa sawa atajua nini TFF wanapaswa kufanya. Kwa hiyo sio lwama kama unavyodhani wewe bali ni ushauri. Kumbuka TFF wapo pale sio kuuza sura bali kukuza mpira wa miguu na sio mpira wa wanaume. Ni Tanzania FOOTBALL Association na sio Tanzania MEN FOOTBALL Association.
 
Wakati bado tunasherehekea ubingwa wa waliopigania dada zetu nadhani inabidi tuwekane sawa. Ni ukweli usiofichika kuwa TFF na wadau wa michezo kwa ujumla wanawekeza fedha, mawazo, na akili zao zote kwa timu za wanaume. Soka la wanawake limekaa kiyatima yatima tu huku la wanaume likitawala vyombo vya habari na mitandao ya kijamii yote. Hata haya mashindano ya Afrika mashariki ilikua nadra sana kukutwa habari zake kwenye vyombo vya habari vya tanzania. Kila gazeti, redio na television imejaa Ali Kiba aenda Coastal Union, Simba Uturuki, Yanga yasajili na umbea mwingine kama huo.

Nani sasa anaweza kujivunia ubingwa wa akina dada hawa? Nadhani ni wao tu, wao na mungu wao, kocha wao na benchi la ufundi. Mchango ambao TFF inautoa kwa timu hii ukilinganisha na ule wa ile 'kichwa cha mwendawizimu" utajua kwa nini nasema TFF hawapaswi kusheherekea wala kujivunia. Wamewekeza kidogo sana kwenye timu ya wadada huku wakipoteza nguvu nyingi kwa timu ya wanaume. LAKINI mavuno waliyovuna kutoka kwa hawa wadada ni heshima kubwa ya kujivunia.
Kwa anayejua mpira wa miguu na amewaona hawa Kilimanjaro queens ataniunga mkono kuwa wanasakata soka na wanaari ya ushindi. Kwanza wanajituma na wanatafuta ushindi kwa nguvu zote. Sasa wale wenzetu na sisi ambao huwa wanacheza huku wakiwaza fedha za MO na Manji waleee, kwanza huwa hawajitumi, wanacheza kutimiza dakika 90 tu, wapo uwanjani kama hawapo. Cha ajabu huko kwa wasiojituma ndiko tumewekeza nguvu zote zote. AIBU SANA. Hawa wadada hata mechi wanazoshindwa ukiangalia wanashindwa 'kiume'. Wanapambana hadi hatua ya mwisho. Naomba angalia goli ya nne lilifungwa dhidi ya Ethiopia kisha utafakari kama kuna mtu Taifa stars kule angekua na nia ya kufunga na akapambana kama aliyoionesha Fatuma Mustapha huku wakiwa mbele kwa magoli matatu kwa moja.
Tunahaja ya kuona aibu na kuamua kuwekeza nguvu kwenye biashara inayolipa. Wahindi wamewekeza kwenye cricket sio wajinga. Hebu tuachane na huuu ukichwa wa wendawazimu, TUWEKEZE KWENYE SOKA LA WANAWAKE ZAIDI MAANA WAO NDIO WENYE NIA YA KULIWAKILISHA VEMA TAIFA.
Umesema jambo jema sana la kuwekeza kwenye soka la wanawake.
Ila naona umekosea kitu kimoja kumlaumu kwamba kwa nini hawawekezi kwenye mpira wa wanawake sana kuliko wanaume.
Ulitakiwa ufanye uchunguzi uje na sababu za kutosha kabla hujawalaumu.
Kwanza kutokana tamaduni si Tanzania tu duniani kote mpira wa miguu ulikua unachezwa na wanaume. Saizi ndo at least watu wameanza kujua kua kumbe hata wanawake wanaweza kucheza.
Hii ni duniani kote, Mfano Juzi hapa Barcelona iliwachukua timu ya wanawake na wanaume wamezipeleka tour Marekani. Hili jambo limeonekana la kipekee sana na kufikia hatua Barcelona wanapewa hongera kwamba wanathamini mpira wa wanawake.
Japo nao katika kuwasafirisha wanawake wakakatiwa tiketi kwenye daraja la kawaida afu timu ya wanaume wakapewa siti kwenye class A .
Japo wao wametoa utetezi kua ilifanyika hivyo kwa sababu idea ya kuunganisha timu zote kwenye tour Marekani ilikuja badae ko walivyokua wanaenda kukata tiketi za class A ziliisha.
Lengo la huo mfano ilikua kuelezea kua sio tu kuwalaumu TFF ila wanatakiwa kupewa elimu ili kuuthamini pia mpira wa wanawake.
Japo la bajeti haliwezi kua sawa na wanaume kwa sababu mpira wa wanaume una mashabiki wengi hivyo ni rahisi kupata uwekezaji.
Mwisho ulipaswa uwasapoti TFF mana hata hayo mafanikio ni kwa sababu wao ndo wanaiandaa timu. Ila shida ni kwenye hawa wandishi wa habri mana hawatoi sapoti yoyote. Angalia magazeti ya Leo suala la Kilimanjaro Queen kutwa ubingwa wameona japo la kawaida.
 
Kila kitu ni lawama,hapo walipofika walifikaje?
Walifika kwa juhudi zao binafsi hivyo pongezi pia ziwaendee wao binafsi!habari ya kupeperusha bendera mpeni Diamond ndiyo anaiweza maana tulimshuhudia akipeperusha ya ccm na bado mmemuhujumu!
 
Kidunia mpira wa wanawake bado sana. Hamna haja kuwekeza nguvu nyingi.
 
Dunia ipi hiyo? hivi nchi zinazokua mabingwa wa soka la wanawake afrika na dunia hawajawekeza? Tatizo ni vyombo vyetu vya habari viko biased. unaweza kuta mtu kama wewe hata hajui kombe la dunia la wanawake limechezwa wapi mala ya mwisho na nani ni bingwa na alipata dollar ngapi. Labda niulize, je ni sahihi Kilimanjaro queen kusafiri na kombe kwenye basi siku mbili wakati wanaume husafiri kwa ndege mikono mitupu? Tuache mgumo dume. Tuwekeze panapolipa.
 
Mkuu nakubaliana na wewe, sioni kwa nini imeshindikana hata kuwakatia tiketi za ndege hawa mashujaa mpk wamerudi na basi
 
Kila kitu ni lawama,hapo walipofika walifikaje?
Ilimradi wachafue rekodi ya waziri wa michezo na rais wa TFF. Hivi timu inaweza kushiriki michuani hiyo bila baraka za TFF. ?
 
Kuna kipindi nakumbuka mashindano yalifanyika nje burundi nadhan, Kilimanjaro wakachukua ubingwa, Wachezaji wakagoma kupanda ndege wakitaka wapewe hizo nauli ili wapanda basi wabakiwe na hela kias maana walikua hawalipwi
 
Back
Top Bottom