Simba kabeba ubingwa, Yanga imebeba mimbaUngejua pesa anazotumia MO kununua ubingwa ungekua na heshma kidogo. Ndio maana matokeo ya mechi na mtibwa kule Zanzibar kwenye mapinduz cup alitaka kususa. MO anaposema ametumia billion 4 kwa msimu mmoja muwe mnamwelewa. Nyuma ya pazia anafanya kazi kubwa sana.
Mkuu kwa hiyo tatizo Ni Bajeti.....unafikiri GSM wanakwama wapi!Ungejua pesa anazotumia MO kununua ubingwa ungekua na heshma kidogo. Ndio maana matokeo ya mechi na mtibwa kule Zanzibar kwenye mapinduz cup alitaka kususa. MO anaposema ametumia billion 4 kwa msimu mmoja muwe mnamwelewa. Nyuma ya pazia anafanya kazi kubwa sana.
Ungejua pesa anazotumia MO kununua ubingwa ungekua na heshma kidogo. Ndio maana matokeo ya mechi na mtibwa kule Zanzibar kwenye mapinduz cup alitaka kususa. MO anaposema ametumia billion 4 kwa msimu mmoja muwe mnamwelewa. Nyuma ya pazia anafanya kazi kubwa sana.
Hauwezi kuwa na msisimko kwani bingwa anapangwa na TffMiaka ya1990 na 80' hata 2000'ligi ilikuwa tamu Sana! Siku ya Ubingwa ilikuwa furaha tele, ilikuwa unaweza hata kuoa siku hiyo.
Lakini leo ligi imekuwa nyanya Sana! Simba tunatamba tu. Hizi timu nyingine zichangamke aisee, inaboa !
Ungejua pesa anazotumia MO kununua ubingwa ungekua na heshma kidogo. Ndio maana matokeo ya mechi na mtibwa kule Zanzibar kwenye mapinduz cup alitaka kususa. MO anaposema ametumia billion 4 kwa msimu mmoja muwe mnamwelewa. Nyuma ya pazia anafanya kazi kubwa sana.
Tff wameanza lini kupangwa bingwa! Mimi nafikiri tatizo Ni Aina ya uwekezaji unaofanywa: nitakupa mifano!Hauwezi kuwa na msisimko kwani bingwa anapangwa na Tff
Ile mimba ya march 8 ya morrison inakufanya uteme shombo badala ya mateSimba kabeba ubingwa, Yanga imebeba mimba
Wananunua mechi ndo maana hamna amsha amsha.Miaka ya1990 na 80' hata 2000'ligi ilikuwa tamu Sana! Siku ya Ubingwa ilikuwa furaha tele, ilikuwa unaweza hata kuoa siku hiyo.
Lakini leo ligi imekuwa nyanya Sana! Simba tunatamba tu. Hizi timu nyingine zichangamke aisee, inaboa !
Mbali na MO na pamoja na tuhuma zako ila Simba ndio bora kwa msimu huu...Ungejua pesa anazotumia MO kununua ubingwa ungekua na heshma kidogo. Ndio maana matokeo ya mechi na mtibwa kule Zanzibar kwenye mapinduz cup alitaka kususa. MO anaposema ametumia billion 4 kwa msimu mmoja muwe mnamwelewa. Nyuma ya pazia anafanya kazi kubwa sana.
Yanga ni mfumo siyo mchezaji mmoja mmoja, mbona Ajib na Gadiel Michael walihamia huko na bado Yanga wakatoboa tundu??Unaposema Mpaka Uwe Na Morson Ndo Umfunge Mnyama, Wekundu Wa Msimbaz Wanalunyas Taifa Kubwa, Timu Inayocheza Mpira Uliothibitishwa Kwaviwango Vya Shirikisho Afrika, Sasa Unajipangaje Mcmu Ujao Maana Hautakuanae Tena, Anahamia Hukohuko Lunyasini.