Ubingwa wa soka Tanzania umekosa msisimko

Ungejua pesa anazotumia MO kununua ubingwa ungekua na heshma kidogo. Ndio maana matokeo ya mechi na mtibwa kule Zanzibar kwenye mapinduz cup alitaka kususa. MO anaposema ametumia billion 4 kwa msimu mmoja muwe mnamwelewa. Nyuma ya pazia anafanya kazi kubwa sana.
 
Simba kabeba ubingwa, Yanga imebeba mimba
 
Ungejua pesa anazotumia MO kununua ubingwa ungekua na heshma kidogo. Ndio maana matokeo ya mechi na mtibwa kule Zanzibar kwenye mapinduz cup alitaka kususa. MO anaposema ametumia billion 4 kwa msimu mmoja muwe mnamwelewa. Nyuma ya pazia anafanya kazi kubwa sana.
Mkuu kwa hiyo tatizo Ni Bajeti.....unafikiri GSM wanakwama wapi!
 
Mo aliikacha simba kule kwa kupigwa na mtibwa akaugua presha juu,hela inauma nyie ila hapa kwa ubingwa aaah roho kwatu zimelipa.
Ungejua pesa anazotumia MO kununua ubingwa ungekua na heshma kidogo. Ndio maana matokeo ya mechi na mtibwa kule Zanzibar kwenye mapinduz cup alitaka kususa. MO anaposema ametumia billion 4 kwa msimu mmoja muwe mnamwelewa. Nyuma ya pazia anafanya kazi kubwa sana.
 
Miaka ya1990 na 80' hata 2000'ligi ilikuwa tamu Sana! Siku ya Ubingwa ilikuwa furaha tele, ilikuwa unaweza hata kuoa siku hiyo.

Lakini leo ligi imekuwa nyanya Sana! Simba tunatamba tu. Hizi timu nyingine zichangamke aisee, inaboa !
Hauwezi kuwa na msisimko kwani bingwa anapangwa na Tff
 
Yanga mlikula ngapi?Au hao mtibwa walihongwa ngapi?

Ukiwa mtoto wa changu unaweza kudhani kila mama anaishi kwa kuhongwa tu.
Ungejua pesa anazotumia MO kununua ubingwa ungekua na heshma kidogo. Ndio maana matokeo ya mechi na mtibwa kule Zanzibar kwenye mapinduz cup alitaka kususa. MO anaposema ametumia billion 4 kwa msimu mmoja muwe mnamwelewa. Nyuma ya pazia anafanya kazi kubwa sana.
 
Hauwezi kuwa na msisimko kwani bingwa anapangwa na Tff
Tff wameanza lini kupangwa bingwa! Mimi nafikiri tatizo Ni Aina ya uwekezaji unaofanywa: nitakupa mifano!
Mfano Azam wamekosa mbinu za Kisayansi za kupata matokeo kulingana na kinachowekezwa!
Yanga imejaa Uswahili!Yaani timu bado inaendeshwa kizamani....enzi zile ambazo Yanga ilikuwa na Klabu tu Mtaani!
Ndio maana mpaka Leo hata shabiki Ana nguvu!
Simba ...imeanza kubadilika kutoka kwenye Uswahili kuelekea kwenye usasa!
Hata haya mafanikio Ni matokeo ya kuanza kuondokana na Uswahili.
Singida United nimatokeo ya Wanasiasa Uchwara kutoka kuutumia ujinga wa wengi,Kama wanavyofanya kwenye Siasa!Baada ya Singida Namungo nao watakipokea Kikombe anachokipata Singida United!
Mtibwa ,Kagera .Ndanda,Mwadui,Mbeya City,Kmc,Timu za Jeshi....huu Ni mfano wa uwekezaji Bora ktk Soka ..lakini umegubikwa na kuhamishiwa kwa Usimba na Uyanga ktk timu hizi!Hata Azam pia inaingia ktk kundi Hili!
Kimsingi tuna safari ndefu
Simba wameanza!
 
Mbumbumbu ndio wanaoharibu ladha ya ubingwa! Waache manunuzi
 
Mbona hata sikukuu za Krismas, mwaka mpya na pasaka miaka hiyo zilikuwa na msisimuko sana tofauti na siku hizi ambapo zimekuwa ni kama siku nyingine za kawaida za juma? Ni wakati tu
 
Jana mambo yalikua mengi mkuu. Kisarawe, Bukoba na Msumbiji ubigwa tutashangilia baadae.
 
Miaka ya1990 na 80' hata 2000'ligi ilikuwa tamu Sana! Siku ya Ubingwa ilikuwa furaha tele, ilikuwa unaweza hata kuoa siku hiyo.

Lakini leo ligi imekuwa nyanya Sana! Simba tunatamba tu. Hizi timu nyingine zichangamke aisee, inaboa !
Wananunua mechi ndo maana hamna amsha amsha.
 
Ungejua pesa anazotumia MO kununua ubingwa ungekua na heshma kidogo. Ndio maana matokeo ya mechi na mtibwa kule Zanzibar kwenye mapinduz cup alitaka kususa. MO anaposema ametumia billion 4 kwa msimu mmoja muwe mnamwelewa. Nyuma ya pazia anafanya kazi kubwa sana.
Mbali na MO na pamoja na tuhuma zako ila Simba ndio bora kwa msimu huu...
 
mechi ya jana na Prisons yule beki wa mikia anashika refa anajichekesha sasa Mikia atafungwaje ..inabidi uwe na mtu kama Morrisson ndio uwafunge
 
Unaposema Mpaka Uwe Na Morson Ndo Umfunge Mnyama, Wekundu Wa Msimbaz Wanalunyas Taifa Kubwa, Timu Inayocheza Mpira Uliothibitishwa Kwaviwango Vya Shirikisho Afrika, Sasa Unajipangaje Mcmu Ujao Maana Hautakuanae Tena, Anahamia Hukohuko Lunyasini.
 
Yanga ni mfumo siyo mchezaji mmoja mmoja, mbona Ajib na Gadiel Michael walihamia huko na bado Yanga wakatoboa tundu??
 
Back
Top Bottom