Ubingwa wa soka Tanzania umekosa msisimko

Yanga malengo yao huwa ni kuifunga Simba tu.wakati Simba malengo yake ni kama sio kufika semifinal club bingwa Africa basi ni kutwaa ubingwa kabisa.
 
Miaka ya1990 na 80' hata 2000'ligi ilikuwa tamu Sana! Siku ya Ubingwa ilikuwa furaha tele, ilikuwa unaweza hata kuoa siku hiyo.

Lakini leo ligi imekuwa nyanya Sana! Simba tunatamba tu. Hizi timu nyingine zichangamke aisee, inaboa !
Kubeba kontena kwa kichwa ni kazi rahisi kuliko kubeba kichwa kisicho na ubongo.

5imba haijashinda kwa kuwa imeongezeka kiwango chake bali inatembea kwenye madhaifu ya kiuchumi ya timu pinzani. Mechi yeyote ile ambayo refa hajapewa chochote lazima iwe ngumu kwa mbumbumbu, ndio maana ile siku mlipigwa kidude na Morison mbele ya mzee baba, maana siku ile refa asingethubutu kuchukua mlungula mbele ya mzee
 
Acha ing'oo zisikuwa na mpango wewe wivu tu umekujaa... kama mo ananunua mechi mbona hakuchukua ubingwa kipindi anaidhamini African lyon
 
Kwa hiyo mwadui walivyotufunga wao walikuwa hawataki hela si ndio! Nyie jamaa mna wivu sijapata kuona! Tatizo lenu ligi yote mnajiandaa kwa ajili ya simba tu.. mnamfunga simba mnadroo game tatu kisha mnatafuta mchawi.
 
Namungo PM akitoka kwenye uPM ndio basi, labda atoke kwenye uPM aende kwenye urais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…