NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Yanga malengo yao huwa ni kuifunga Simba tu.wakati Simba malengo yake ni kama sio kufika semifinal club bingwa Africa basi ni kutwaa ubingwa kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubeba kontena kwa kichwa ni kazi rahisi kuliko kubeba kichwa kisicho na ubongo.Miaka ya1990 na 80' hata 2000'ligi ilikuwa tamu Sana! Siku ya Ubingwa ilikuwa furaha tele, ilikuwa unaweza hata kuoa siku hiyo.
Lakini leo ligi imekuwa nyanya Sana! Simba tunatamba tu. Hizi timu nyingine zichangamke aisee, inaboa !
Acha ing'oo zisikuwa na mpango wewe wivu tu umekujaa... kama mo ananunua mechi mbona hakuchukua ubingwa kipindi anaidhamini African lyonUngejua pesa anazotumia MO kununua ubingwa ungekua na heshma kidogo. Ndio maana matokeo ya mechi na mtibwa kule Zanzibar kwenye mapinduz cup alitaka kususa. MO anaposema ametumia billion 4 kwa msimu mmoja muwe mnamwelewa. Nyuma ya pazia anafanya kazi kubwa sana.
Kwa hiyo mwadui walivyotufunga wao walikuwa hawataki hela si ndio! Nyie jamaa mna wivu sijapata kuona! Tatizo lenu ligi yote mnajiandaa kwa ajili ya simba tu.. mnamfunga simba mnadroo game tatu kisha mnatafuta mchawi.Kubeba kontena kwa kichwa ni kazi rahisi kuliko kubeba kichwa kisicho na ubongo.
5imba haijashinda kwa kuwa imeongezeka kiwango chake bali inatembea kwenye madhaifu ya kiuchumi ya timu pinzani. Mechi yeyote ile ambayo refa hajapewa chochote lazima iwe ngumu kwa mbumbumbu, ndio maana ile siku mlipigwa kidude na Morison mbele ya mzee baba, maana siku ile refa asingethubutu kuchukua mlungula mbele ya mzee
Namungo PM akitoka kwenye uPM ndio basi, labda atoke kwenye uPM aende kwenye uraisTff wameanza lini kupangwa bingwa! Mimi nafikiri tatizo Ni Aina ya uwekezaji unaofanywa: nitakupa mifano!
Mfano Azam wamekosa mbinu za Kisayansi za kupata matokeo kulingana na kinachowekezwa!
Yanga imejaa Uswahili!Yaani timu bado inaendeshwa kizamani....enzi zile ambazo Yanga ilikuwa na Klabu tu Mtaani!
Ndio maana mpaka Leo hata shabiki Ana nguvu!
Simba ...imeanza kubadilika kutoka kwenye Uswahili kuelekea kwenye usasa!
Hata haya mafanikio Ni matokeo ya kuanza kuondokana na Uswahili.
Singida United nimatokeo ya Wanasiasa Uchwara kutoka kuutumia ujinga wa wengi,Kama wanavyofanya kwenye Siasa!Baada ya Singida Namungo nao watakipokea Kikombe anachokipata Singida United!
Mtibwa ,Kagera .Ndanda,Mwadui,Mbeya City,Kmc,Timu za Jeshi....huu Ni mfano wa uwekezaji Bora ktk Soka ..lakini umegubikwa na kuhamishiwa kwa Usimba na Uyanga ktk timu hizi!Hata Azam pia inaingia ktk kundi Hili!
Kimsingi tuna safari ndefu
Simba wameanza!