Ali kamwe ampigia ahmedy Ally[emoji23][emoji23]
“Leo niliwapigia simu maafisa Habari wote wa Ligi Kuu kuwaeleza maelekezo ya CAF kuhusu nusu fainali, Media Officer unatakiwa uwe vipi…..
“Simu ya Ahmed Ally iliita haikupokelewa, bahati nzuri nilipiga tena akapokea nikasikia upepo tu, nikaumuulza vipi akaniambia anaenda Mtwara.
“Nikamuuliza kuna nini akasema anaenda kucheza nusu fainali, nikamwambia nusu fainali nchi Hii ni moja tu, sasa kama CAF wanampgia afisa habari alafu kuna upepo namna ile unakuwa disqualified,” —Ally Kamwe