Ubinifu soka: Kamwe azindua wananchi comedy festival

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
“Tumefurahi na lazima tukaonyeshe furaha yetu, kwa hiyo tumeandaa WANANCHI COMEDY FESTIVAL, NJOONI TUWACHEKE wote Waliokufa kiume, kilele chao cha kuchekwa kitakuwa ni Mei 05, 2023, mashujaa wote waliokufa kiume Afrika nzima kilele chao cha kuchekwa ni Tar 05.

“Ukiona ulikufa kiume, hujaua wanaume Tar 5 una shughuli ya kuchekwa na Yanga, Hii ni siku ya wanachama, washabiki wa Yanga tunakutana mahali tucheke tufurahi,” Afisa Habari wa Yanga, @alikamwe

#WasafiSports
1682957349721.jpg
 
Ali kamwe ampigia ahmedy Ally[emoji23][emoji23]

“Leo niliwapigia simu maafisa Habari wote wa Ligi Kuu kuwaeleza maelekezo ya CAF kuhusu nusu fainali, Media Officer unatakiwa uwe vipi…..

“Simu ya Ahmed Ally iliita haikupokelewa, bahati nzuri nilipiga tena akapokea nikasikia upepo tu, nikaumuulza vipi akaniambia anaenda Mtwara.

“Nikamuuliza kuna nini akasema anaenda kucheza nusu fainali, nikamwambia nusu fainali nchi Hii ni moja tu, sasa kama CAF wanampgia afisa habari alafu kuna upepo namna ile unakuwa disqualified,” —Ally Kamwe
 
E225030C-2466-43D3-97E9-C28DB0A741B3.jpeg
 
Sisi Simba kwenye kabati tayari tushanyanyua kombe la kufa kiume, nyie yanga mna nini?
 
Back
Top Bottom