Ubishani! Kati ya Tanasha/Kenya na Muncy /Tanzania nani mzuri

Ubishani! Kati ya Tanasha/Kenya na Muncy /Tanzania nani mzuri

Haya maneno ya kujifariji ukipendwa na hicho chuma lazima umtelekeze huyo mkeo na hamnaga mwanaume jasiri kwa mtoto mzuri.
Ukishamlala huyo manzi unaweza kuona hana lolote ni heri ununue malaya kimboka mkuu usijiapize hizo nguo tu . Hata yale masanamu kwenye maduka ya nguo mbona yanapendeza ? Kuna uzuri na utamu kuwa makini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kabisa zaidi ya kuisikia na kuisoma kwenye vitabu.Vip mademu wa uko wanapiga mizinga Sana?
Hapana man ni tabia ya manzi mwenyewe,,Kuna mamanzi wa Ki'Iraq au Wambulu,Wachaga,wapare,Wamaasai,Waarusha na wameru ni wakali Si poa,ila sema Wambulu waga hawanyimani wale ni hawajatulia hapo ndo wanapozingua,
 
Wewe una manzi yupi?
 
Back
Top Bottom