Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

hapo imeandikwa wasafi tv sio wasafi media!..... nadhan ni vitu viwli tofaut (kisheria anyway)
 
Joe 45%
Mrs Joe 53%
Mond 2%

Ukitaka ushahidi zaidi nifate PM nyaraka zingine hazifai kumwagwa hapa.
PM ????!!!!
ukisikia umbeya ndio huu.Wenzako wameweka hapa .Kwanini wewe mpaka PM?
 
Nyaraka ndio hizo au kuna mamlaka ya usajiri nyingine zai ya tcra ?
 
Kijana kajitahidi ingawa ndo kishauza brand, hiyo 450 anayopata bado hajagawana na kina babu tale, salaam, mkubwa fella n.k. Ajitahidi siku moja amiliki kitu chake kwa asilimia mia.
Hivi sheria inaruhusu umiliki wa asilimia 100 kweli?
 
Biashara nzuri siku hizi ni ya hisa tufunguke jamani.
Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu.

Biashara ya kuendeshwa kwa hisa inatupa fura wengine wanaotaka kuinvest.
 
Weeeeeeee acha kabisa, usilolijua ni sawa na ucku wa kiza kwako, humjui kabisa alivo na roho mbaya uyu jamaa. Chukulia mfano mdogo tu ex bodgad wke alipopata ajali, alifanyaje. Uctujaze uongo kwa mapenz yko kwake.
 
Weeeeeeee acha kabisa, usilolijua ni sawa na ucku wa kiza kwako, humjui kabisa alivo na roho mbaya uyu jamaa. Chukulia mfano mdogo tu ex bodgad wke alipopata ajali, alifanyaje. Uctujaze uongo kwa mapenz yko kwake.
Alifanyaje? Alipata ajali kazini au akiwa ktk kazi zake binafsi? Kifesi yule pale ana nyumba na gari sababu ya Mondi, japo alifanya nae ktk kipindi kichache. Msanii gani ana crew kubwa kama Mondi, ina wale wote wanauza sura hawalipi?

Madensa wale wana maisha, wana magari na nyumba na Kuna mmoja anasoma diploma sababu ya Mondi, nitajie msanii yoyote Tanzania ambao madensa wake wamefikia level ya WCB.

Vipi kuhusu Hawa kuanzia matibabu yake India, gharama za usafiri na makazi na sasa hivi yupo mapumzikoni hotel, gharama alizibeba nani?.
 
Cjakwambia kwamba nafanya comparison kat ya wasanii na wasanii noooooo, na ujue kua sio kila mtu anajitangaza life yke kama ndgyo domo afanyavo, wengne wapo lkn ni private lifestyle yao
 
Cjakwambia kwamba nafanya comparison kat ya wasanii na wasanii noooooo, na ujue kua sio kila mtu anajitangaza life yke kama ndgyo domo afanyavo, wengne wapo lkn ni private lifestyle yao
Mbona unabadilisha magoli wewe umesema ana roho mbaya mimi nimekuonyesha alivyofanya.Hivi ww unajua mabaunsa wanaolinda katika events za WCB wote wanatoka ktk kampuni ya Mwarabu Fighter,hivi unajua bila Diamond Mwarabu fighter asingekuwa maarufu na wala kufungua kampuni yake ya u-bodygurd ,unalijua hilo ,pamoja ww unaona wamegombana lakini kwenye msimu wa kuzindua kipindi cha Ramadhani Mwarabu alialikwa.Alafu hela kama pembe la ng'ombe ukilipwa vizuri itajulikana hata kama sio public ,lkn kwa watu wako wa karibu watajua.

Tatizo lenu baadhi yenu wabongo mnaroho mbaya tena za kimasikini na hamna exposure ,hebu angalia BET kuna tuzo ya Humanitarian awards,uone jinsi wasanii wanaosaidia jumiya ya watu wenye matatizo wanavyopewa tuzo,ila nyie huku mnaita show off,Akon kapewa tuzo ya BET baada ya kufanikisha kufunga Solar Power mil 1 ktk nchi za Africa ila kwa ww Akon ungemwita anapenda show off,John Legend kapewa BET baada ya mradi wa kuchimba visima Zanzibar,ila kwa udogo wako wa akili yako ungesema John Legend anapenda Show off.
 
Labda we ndo maskini, unabishana na mtu usomjua kwahyo bora upige jiiiiiiiiiiiiii
 
Hivi sheria inaruhusu umiliki wa asilimia 100 kweli?
kwani si unamiliki asilimia100 in reality,sema kwenye makaratasi unaandika majina hata ya wanao wawili kama shares.Huoni hata kusaga badala ya kujiandika yeye kamwandika mwanae.Yes unaweza miliki asilimia mia.
 
sura yangu nitaiweka wapi naogopa hata kutoka nje niliweka asilimia 100 lwamba wamiliki wa wasafi ni Diamond, harmonize na makonda lakini nilichokiona siamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…