ThisisDenis
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 162
- 139
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kama namuona akiandika post hawa wa demo.Mange kimambi[emoji1495]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kama namuona akiandika post hawa wa demo.Mange kimambi[emoji1495]
Hivi pale Mawingu shareholder ni wakina na nani na % zao zikoje?
Sawa BestFemale.Utayala hatakama niyako yananuka
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mmmhhh TCRA wamekosea DOMO hawezi kuwa na share 45% hizo 2% ndio zake.
PM ya nini kama ni genuine unaogopa nini kuzimwaga hapa?😁😁😁😁😁😁Joe 45%
Mrs Joe 53%
Mond 2%
Ukitaka ushahidi zaidi nifate PM nyaraka zingine hazifai kumwagwa hapa.
hapo imeandikwa wasafi tv sio wasafi media!..... nadhan ni vitu viwli tofaut (kisheria anyway)Baada ya sintofahamu ya umiliki halisi wa hisa za wasafi media leo kila kitu kipo wazi, kuna kipindi watu walikadiria diamond kumiliki asilimia 8 ila imekuwa wazi sasa kwamba kijana wetu nembo ya Tanzania Diamond Platnumza Anamiliki hisa asilimia 45 katika wasafi media
Kwa hisa asilimia 45 diamond ana nguvu hizi
1.Kuwepo kwenye Bodi wa kampuni ya wasafi (hapa pia ni c.e.o wa wasafi)
2.Kushiriki katika kutengeneza sera za kampuni
3.kuhusishwa katika mijadala ya mienendo ya kifedha katika kampuni
4.uwezo wa kuuzianna bidhaa na kampuni ya wasafi
5.uwezo wa kupachika mameneja katika kampuni ya wasafi media
6.kuweza kutoa ushauri wa kitaaluma unaoweza kuisaida wasafi media
Tukirudi katika mapato atayopata Diamond ni kwamba mfano wasafi media imetengeneza faida inayobakia kwa wanahisa ya bilioni 1 basi Diamond anachukua milioni 450 huku kusaga akichukua asilimia 53 (milioni 530) na nyingnine asilimia 2 (milioni 29 ) itaenda kwa mwengine ambaye hajajulikana vizuri.
Ikumbukwe kwamba katika makampuni ni kawaida sana kuwa na wanahisa wengi na kuna kipindi hata alieanzisha kampuni huwa na hisa chache kuliko wengine kama ambavyo mwanzilishi wa facebook anavyomiliki asilimia 25 tu za hisa katika kampuni, Vile vile hata kampuni ya Microsoft wengi wamekuwa wakidhani kwamba yupo Bill Gates peke yake ila kuna wanahisa wengine, Ni jambo la kheri mno msanii ambae ni moja ya nembo ya Tanzania kuleta chachu ya wasanii kujikomboa na kuanza kutumia umaarufu na jitihada zao ili wafike mbali.
KAMA IMEKUKERA HAMIA POST NYINGINE
umeeleweka vizuri, inamaana kijana wetu bado anaupepo wa kuifikisha mbali WCBhapo imeandikwa wasafi tv sio wasafi media!..... nadhan ni vitu viwli tofaut (kisheria anyway)
PM ????!!!!Joe 45%
Mrs Joe 53%
Mond 2%
Ukitaka ushahidi zaidi nifate PM nyaraka zingine hazifai kumwagwa hapa.
KweliHao ndio wasanii 😀😀😀😀😀😀.
Hivi sheria inaruhusu umiliki wa asilimia 100 kweli?Kijana kajitahidi ingawa ndo kishauza brand, hiyo 450 anayopata bado hajagawana na kina babu tale, salaam, mkubwa fella n.k. Ajitahidi siku moja amiliki kitu chake kwa asilimia mia.
Weeeeeeee acha kabisa, usilolijua ni sawa na ucku wa kiza kwako, humjui kabisa alivo na roho mbaya uyu jamaa. Chukulia mfano mdogo tu ex bodgad wke alipopata ajali, alifanyaje. Uctujaze uongo kwa mapenz yko kwake.Kama angekuwa na roho ya kukataa wengine wasing'ae leo asingekuwa na WCB, asingekuwa na Rayvany aliyeshinda tuzo ya BET ambayo yy hana. Alafu mbona unapenda kumuwekea ugumu Diamond, Diamond hana roho ya ubinafsi, hajasoma lkn ni genius na ana roho ya kizungu.
Alifanyaje? Alipata ajali kazini au akiwa ktk kazi zake binafsi? Kifesi yule pale ana nyumba na gari sababu ya Mondi, japo alifanya nae ktk kipindi kichache. Msanii gani ana crew kubwa kama Mondi, ina wale wote wanauza sura hawalipi?Weeeeeeee acha kabisa, usilolijua ni sawa na ucku wa kiza kwako, humjui kabisa alivo na roho mbaya uyu jamaa. Chukulia mfano mdogo tu ex bodgad wke alipopata ajali, alifanyaje. Uctujaze uongo kwa mapenz yko kwake.
Cjakwambia kwamba nafanya comparison kat ya wasanii na wasanii noooooo, na ujue kua sio kila mtu anajitangaza life yke kama ndgyo domo afanyavo, wengne wapo lkn ni private lifestyle yaoAlifanyaje? Alipata ajali kazini au akiwa ktk kazi zake binafsi? Kifesi yule pale ana nyumba na gari sababu ya Mondi, japo alifanya nae ktk kipindi kichache. Msanii gani ana crew kubwa kama Mondi, ina wale wote wanauza sura hawalipi?
Madensa wale wana maisha, wana magari na nyumba na Kuna mmoja anasoma diploma sababu ya Mondi, nitajie msanii yoyote Tanzania ambao madensa wake wamefikia level ya WCB.
Vipi kuhusu Hawa kuanzia matibabu yake India, gharama za usafiri na makazi na sasa hivi yupo mapumzikoni hotel, gharama alizibeba nani?.
Mbona unabadilisha magoli wewe umesema ana roho mbaya mimi nimekuonyesha alivyofanya.Hivi ww unajua mabaunsa wanaolinda katika events za WCB wote wanatoka ktk kampuni ya Mwarabu Fighter,hivi unajua bila Diamond Mwarabu fighter asingekuwa maarufu na wala kufungua kampuni yake ya u-bodygurd ,unalijua hilo ,pamoja ww unaona wamegombana lakini kwenye msimu wa kuzindua kipindi cha Ramadhani Mwarabu alialikwa.Alafu hela kama pembe la ng'ombe ukilipwa vizuri itajulikana hata kama sio public ,lkn kwa watu wako wa karibu watajua.Cjakwambia kwamba nafanya comparison kat ya wasanii na wasanii noooooo, na ujue kua sio kila mtu anajitangaza life yke kama ndgyo domo afanyavo, wengne wapo lkn ni private lifestyle yao
Labda we ndo maskini, unabishana na mtu usomjua kwahyo bora upige jiiiiiiiiiiiiiiMbona unabadilisha magoli wewe umesema ana roho mbaya mimi nimekuonyesha alivyofanya.Hivi ww unajua mabaunsa wanaolinda katika events za WCB wote wanatoka ktk kampuni ya Mwarabu Fighter,hivi unajua bila Diamond Mwarabu fighter asingekuwa maarufu na wala kufungua kampuni yake ya u-bodygurd ,unalijua hilo ,pamoja ww unaona wamegombana lakini kwenye msimu wa kuzindua kipindi cha Ramadhani Mwarabu alialikwa.Alafu hela kama pembe la ng'ombe ukilipwa vizuri itajiulika hata kama sio public ,lkn kwa watu wako wa karibu watajua.
Tatizo lenu baadhi yenu wabongo mnaroho mbaya tena za kimasikini na hamna exposure ,hebu angalia BET kuna tuzo ya Humanitarian awards,uone jinsi wasanii wanaosaidia jumiya ya watu wenye matatizo wanavyopewa tuzo,ila nyie huku mnaita show off,Akon kapewa tuzo ya BET baada ya kufanikisha kufunga Solar Power mil 1 ktk nchi za Africa ila kwa ww Akon ungemwita anapenda show off,John Legend kapewa BET baada ya mradi wa kuchimba visima Zanzibar,ila kwa udogo wako wa akili yako ungesema John Legend anapenda Show off.
Wale si wapambe tuKwahiyo akina babutale,sallam na Mkubwa fella ni wabeba Mikoba tu!!
kwani si unamiliki asilimia100 in reality,sema kwenye makaratasi unaandika majina hata ya wanao wawili kama shares.Huoni hata kusaga badala ya kujiandika yeye kamwandika mwanae.Yes unaweza miliki asilimia mia.Hivi sheria inaruhusu umiliki wa asilimia 100 kweli?