Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

kwani si unamiliki asilimia100 in reality,sema kwenye makaratasi unaandika majina hata ya wanao wawili kama shares.Huoni hata kusaga badala ya kujiandika yeye kamwandika mwanae.Yes unaweza miliki asilimia mia.
Kama sheria inaruhusu kwa nini kwenye makaratasi wanaweka watu wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…