joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Na sitaki kukujua kwani kwa akili na mawazo yako huwezi nisaidia chochote.Labda we ndo maskini, unabishana na mtu usomjua kwahyo bora upige jiiiiiiiiiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sitaki kukujua kwani kwa akili na mawazo yako huwezi nisaidia chochote.Labda we ndo maskini, unabishana na mtu usomjua kwahyo bora upige jiiiiiiiiiiiiii
Labda kampuni ya kuuza vitumbuaUmaskini unawasumbua, mimi mwenyewe tajiri namiliki kampuni yangu kwa asilimia 100. Acheni mawazo ya kimaskini.
Kama sheria inaruhusu kwa nini kwenye makaratasi wanaweka watu wenginekwani si unamiliki asilimia100 in reality,sema kwenye makaratasi unaandika majina hata ya wanao wawili kama shares.Huoni hata kusaga badala ya kujiandika yeye kamwandika mwanae.Yes unaweza miliki asilimia mia.