Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

45% ni nyingi sana, karibia nusu, respek kwa jamaa.
Ila kusaga ndo mwenye Sauti...! Kama aligombana na ndugu zakee bhasi ipo siku watagombana na diamond piaa pesaa mwanaharamuu... Diamond hayupo salama kabisaaaaa yani aache kujifanya mjanja.
 
Hio karatasi tu je kama kuna mikataba ya siri inayombana jamaa fulani kutoka kumiliki asilimia kubwa mpaka ndogo zinazosemwa. Mjini hapa
 
Back
Top Bottom