Pole sana Kiongozi.Mmmhhh TCRA wamekosea DOMO hawezi kuwa na share 45% hizo 2% ndio zake.
Wewe mwenyewe umezitoa kwa mange insta, ungekuwa nazo ungeweka kabla ya mange instaJoe 45%
Mrs Joe 53%
Mond 2%
Ukitaka ushahidi zaidi nifate PM nyaraka zingine hazifai kumwagwa hapa.
Mchizi unashusha heshima yako jf,long kitambo lakin siku hizi naona umekua na too much hate au ID yako anatumia dada ako?Mmmhhh TCRA wamekosea DOMO hawezi kuwa na share 45% hizo 2% ndio zake.
Kama ilivyo kawaida yao ...wazee wa slope ..Kwahiyo akina babutale,sallam na Mkubwa fella ni wabeba Mikoba tu!!
pmJoe 45%
Mrs Joe 53%
Mond 2%
Ukitaka ushahidi zaidi nifate PM nyaraka zingine hazifai kumwagwa hapa.
Kabisa Mkuu,anahitaji pongezi sanaDaaaah hongera nyingi sana ziende kwake,,,,45%......aaaaahhh acha tu awe anaringa nayo kwa kweli.
Kikubwa tumsaport jamn ndugu zangu....hilo jambo sio dogo kwa mtu alietoka from zero aisee
Tutolee bangi zako hapaJoe 45%
Mrs Joe 53%
Mond 2%
Ukitaka ushahidi zaidi nifate PM nyaraka zingine hazifai kumwagwa hapa.
Yaani wewe tamaa mpk kwa wadada wenzio..!Huyo mdada mrembo
Yaani wewe tamaa mpk kwa wadada wenzio..!
Utamfanyaje sasa???Sina tamaa Ila huyo dada mzuri bwana. Hafu sijawahi tamani mwanamke mwenzangu. Mimi kitu kizuri nasifia
Ila kusaga ndo mwenye Sauti...! Kama aligombana na ndugu zakee bhasi ipo siku watagombana na diamond piaa pesaa mwanaharamuu... Diamond hayupo salama kabisaaaaa yani aache kujifanya mjanja.45% ni nyingi sana, karibia nusu, respek kwa jamaa.
Utamfanyaje sasa???
Sawa na dume linasifia dume lenzie eti ni handsome shiii...iit