kilyabanu mkono Member Joined Oct 4, 2019 Posts 48 Reaction score 65 Jul 18, 2021 #1 Hongereni Wana msimbazi na wapenzi wa kabumbu wote " nipo katika kibanda umiza hapa tunaomba wajuzi wa mambo mtupe usahii " Ikiwa Yanga Sc atabeba kombe la FA atatakiwa kucheza Shirikisho kama Bingwa mtetezi au atacheza moja kwa moja club Bingwa?
Hongereni Wana msimbazi na wapenzi wa kabumbu wote " nipo katika kibanda umiza hapa tunaomba wajuzi wa mambo mtupe usahii " Ikiwa Yanga Sc atabeba kombe la FA atatakiwa kucheza Shirikisho kama Bingwa mtetezi au atacheza moja kwa moja club Bingwa?
Citizen B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 6,681 Reaction score 9,084 Jul 18, 2021 #2 Yanga anacheza champions League sheikhe
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Jul 18, 2021 #3 Yanga hawezi kuchukua kombe la FA