kilyabanu mkono
Member
- Oct 4, 2019
- 48
- 65
Hongereni Wana msimbazi na wapenzi wa kabumbu wote " nipo katika kibanda umiza hapa tunaomba wajuzi wa mambo mtupe usahii " Ikiwa Yanga Sc atabeba kombe la FA atatakiwa kucheza Shirikisho kama Bingwa mtetezi au atacheza moja kwa moja club Bingwa?