Ubishi wa rubani mpaka ajali ya ndege ya precision air 494 ni kufanza mazoea japo vifaa vilikataa hesabu zake

Ubishi wa rubani mpaka ajali ya ndege ya precision air 494 ni kufanza mazoea japo vifaa vilikataa hesabu zake

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Teknolojia kila siku watu wanasingizia AI wakisha kosea kwa hapa afrika.

Lile black box la ndege na kufanyiwa kwa nini lilitokea tatizo basi tuje hapa tuelewe.

Katika sehemu makini duniani ni mashirika ya kutengeneza ndege,mafundi,wataalamu mpaka wanaosomeshwa kuendesha.

Lina potokea jambo la ajali hakuna yoyote anataka kuonesha kukosa umakini kama nilivyo taja hapo.

Baada taarifa kutoka inaonyesha kampuni hii tuweke ukali wa maneno kimtazamo ni kwamba umakini ulikuwa ndani ya kampuni hii ni mdogo kwenye kila kitu au ndio kama kampuni za mabasi na matajiri.
 
Sijaelewa, anyway maisha ni very complicated Ila tusisahau kulombana
 
Back
Top Bottom