Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nawapongeza Spain kwa kuliteka soka LA Dunia katika kipindi cha miaka 6 sidhani kama kuna timu anaweza kufanya hivyo katika karne ya 21Kiukweli unapotaka kushinda mechi ya soka ni lazima uwaze kandanda .
Wachezaji karibu wote wa Spain hawajuti kufanya makosa uwanjani , hawaonyeshi concentration ya mchezo , " THEY DO NOT FEEL THE GAME "
Ni kama ni wachezaji walioridhika na mafanikio waliyoyapata , wanafungika kirahisi sana .
Natabiri wataondolewa na ITALY .
Kucheza chini ya kiwango kisa umeshiba mafanikio ni kuwaibia watazamaji waliolipa hela zao ili kuona kandanda safi .Hiyo hali hutokea sana hasa pale ambapo wamechukua kombe la dunia na Euro mara mbili mfululizo. Siyo ubishoo ila ni kukinai mafanikio.
kudadadeki, hatunyolewi wala nini.....na huyo France wenu tutamgonga tu...just wait and see....bado England na yy saa 4 anyolewe, *****
kudadadeki, hatunyolewi wala nini.....na huyo France wenu tutamgonga tu...just wait and see....bado England na yy saa 4 anyolewe, *****
Sasa mjomba kama wameridhika na mafanikio yao wamekwenda euro kufanyaje ?Nawapongeza Spain kwa kuliteka soka LA Dunia katika kipindi cha miaka 6 sidhani kama kuna timu anaweza kufanya hivyo katika karne ya 21
Hata wao hawapendi iwe hivyo ila ni suala la kisaikolojia mkuu.Kucheza chini ya kiwango kisa umeshiba mafanikio ni kuwaibia watazamaji waliolipa hela zao ili kuona kandanda safi .
Nawapongeza Spain kwa kuliteka soka LA Dunia katika kipindi cha miaka 6 sidhani kama kuna timu anaweza kufanya hivyo katika karne ya 21
Ta ta ta raaa,ra ra raa,ta ta.!wamewachonga hadi kucha na hina wamewapaka,wanja pia!yaani mnameremetaaa!kudadadeki, hatunyolewi wala nini.....na huyo France wenu tutamgonga tu...just wait and see....
Ta ta ta raaa,ra ra raa,ta ta.!wamewachonga hadi kucha na hina wamewapaka,wanja pia!yaani mnameremetaaa!
Tatizo Ujeruman kwa Italy ni kama Mkate kwa chai. Hata uwe mgumu vip unalainika ukichovyaGerman wanakuja vema. Watachukua hii euro na watatetea WC come 2018!!