Ubishoo wa wachezaji kuiondoa Spain Euro 2016

Ubishoo wa wachezaji kuiondoa Spain Euro 2016

lawama zangu ni kwa del bosque... alikuwa ana wide spectrum ya kuita wachezaji....

akaamua kuleta urealmadrid...
 
Nmeumia sana mkuu ....chama langu la ukweli....kutolewa

Sasa ntamsapoti Italy...japo shingo upande......
Kuna mtu alijaribu kuamini kwamba England itatwaa kombe , niliahidi kumpa laki 1 lakini ndio hivyo tena .
 
lawama zangu ni kwa del bosque... alikuwa ana wide spectrum ya kuita wachezaji....

akaamua kuleta urealmadrid...
Huyu mzee alistahili kutimuliwa mapema sana , kuna haja ya kutafakari uwezo wa makocha wazee .
 
wakina iniesta washajulikana uchezaji wao ndio maana wanadhibitiwa mapema sasa ni wakati wa akina koke na alcantara kuanza pale kati
 
huo ndio unatakiwa ufute halafu mbinu za kijinga za kuchezesha namba 6 na 8 timu nzima maana yake hataki kushambulia anataka kumiliki mpira hicho ndo kimemgharimu
 
Spain ilibebwa Sana na Iniesta na Xavi, sasa kustaafu kwa Xavi na uzee wa Iniesta Spain haina kitu.
 
Back
Top Bottom