gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,577
Mods tupewe ruhusa ya kufuta siredi manake nyingine zinatuumiza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe ukipata mafanikio ya haraka utajenga mazoea akili itarizika na hutapenda kujituma zaidi utajiona kuwa mambo yataendelea kunyooka tuSasa mjomba kama wameridhika na mafanikio yao wamekwenda euro kufanyaje ?
Pole mkuu .Mods tupewe ruhusa ya kufuta siredi manake nyingine zinatuumiza!
Tangu mimi nazaliwa Uingereza inajipanga tu !Mkuu nmekubali kushindwa.ngoja tujipange kwa ajili ya world cup 2018 ...hii ndo imetoka hivo hatuna chetu teña
Nmeumia sana mkuu ....chama langu la ukweli....kutolewaTangu mimi nazaliwa Uingereza inajipanga tu !
Kuna mtu alijaribu kuamini kwamba England itatwaa kombe , niliahidi kumpa laki 1 lakini ndio hivyo tena .Nmeumia sana mkuu ....chama langu la ukweli....kutolewa
Sasa ntamsapoti Italy...japo shingo upande......
Huyu mzee alistahili kutimuliwa mapema sana , kuna haja ya kutafakari uwezo wa makocha wazee .lawama zangu ni kwa del bosque... alikuwa ana wide spectrum ya kuita wachezaji....
akaamua kuleta urealmadrid...
ubarcelona ndo unaua timu ya spain
Kombe la dunia moja ndo wamekinai mafanikio? Labda uwezo umefika peakHiyo hali hutokea sana hasa pale ambapo wamechukua kombe la dunia na Euro mara mbili mfululizo. Siyo ubishoo ila ni kukinai mafanikio.
Sahau kutetea kombe la dunia zama hiziGerman wanakuja vema. Watachukua hii euro na watatetea WC come 2018!!
France vs Italy loading final