Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
Nlisalimika ,lakini niliambulia matusi kedekede hadharani kutoka kwa madereva haswa haswa wale wa usafiri wa UmmaHalafu ikawaje? Uligongwa ama? Baharia funguka [emoji16][emoji16][emoji16]
Ukajilaumu na nafsi yako iksbidi uongezee nauli kurudi au???Mimi nilishawahi kupitiliza kituo kwenye daladala..
Ha ha una balaa wewenilikua road nasikiliza mziki huku nachati ghafla nageuka nyuma nakuta scania ipo mgongoni inatembea polepole kumbe jamaa alipiga honi hadi akachoka.
jamaa uko kwenye tukio muhimu ,na unapata mda wa kutumia simu🤣🤣🤣Kuingiza dushe kwenye tundu B badala ya kuingiza kwenye tundu A!😖😖😖
🤣🤣🤣nilikua road nasikiliza mziki huku nachati ghafla nageuka nyuma nakuta scania ipo mgongoni inatembea polepole kumbe jamaa alipiga honi hadi akachoka.
inaonekana hiyo ni tabia endelevu🤣🤣Kuunguza mboga mpaka sufuria kubadilika rangi.
Mwanga wa simu mbaya sana usiku bila kusahau ubusy wa mitandao nakumbuka ilikuwa mwaka 2012 nipo fb yaani nilikua very addicted nayo, nilikoswa na gari mara tatu ila gari ya tatu ndio nilipata ufaham kuwa nipo katikati ya barabara ila gari mbili za mwanzo nilikuwa najua nipo pembezoni kwahiyo niliishia kulaumu uondeshaji mbovu bila kujua kumbe mim ndio mwenye makosa.
2011 nilishajikuta nimeingia kwenye kidimbwi cha maji machafu barabarani yale maji yalikua yananuka sana.
Ule ulevi wa fb miaka hiyo siutaman tena maishani mwangu.
🤣🤣🤣🤣🤣Ubize wa simu, hasa kuchat..
Kuna siku nilikuwa na chat na watu Kama wa 5 kwa wakati. Meseji zinaingi kwa mpigo ,shida ikaja Kwamba "Badala ya kumjibu swahiba yangu mbona Sina, nikajikuta nimejibu kwa msichana ambaye namtongoza Tena nikachapia kabisa Badala ya mbona Sina, ikawa mbo Sina"
Utakuja kufa[emoji1787][emoji1787]Wasaalam
Ushakutana na ile moment uko kwa social nets, uko bize unaperuzi mpaka ikafikia time ukafanya katukia ka ajabu aidha ka hatari, ka kuchekesha au katukio ka namna yoyote ile
Ilikuwaje na lilikuwa tukio gani?
Mimi nakumbuka nlikuwa nagombana na mpenzi wa kwenye Text Nikajikuta nimesimama katikati ya Rami bila hata kujua[emoji1787][emoji1787]
View attachment 1744597
Hahaaaaaaanilikua road nasikiliza mziki huku nachati ghafla nageuka nyuma nakuta scania ipo mgongoni inatembea polepole kumbe jamaa alipiga honi hadi akachoka.