Akili ya kubeti
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 417
- 636
Ngoja nipite hivi.......................................................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanga wa simu mbaya sana usiku bila kusahau ubusy wa mitandao nakumbuka ilikuwa mwaka 2012 nipo fb yaani nilikua very addicted nayo, nilikoswa na gari mara tatu ila gari ya tatu ndio nilipata ufaham kuwa nipo katikati ya barabara ila gari mbili za mwanzo nilikuwa najua nipo pembezoni kwahiyo niliishia kulaumu uondeshaji mbovu bila kujua kumbe mim ndio mwenye makosa.
2011 nilishajikuta nimeingia kwenye kidimbwi cha maji machafu barabarani yale maji yalikua yananuka sana.
Ule ulevi wa fb miaka hiyo siutaman tena maishani mwangu.
Aisee😅😅😅Ngoja nipite hivi.......................................................
😅😅😅😅Nimeenda kukojoa nimetoa dushee nikamaliza nikalirudishie halafu sikufunga zipu niko bize na simu na wakati nakojoa nilikuwa hata siangaliii nakokojolea.
Huyo mpka nje ya nyumba huku suruali iko wazi kwenye zipu na li boxer limetokeza.
Alinistua mama jirani kuwa mlango uko wazi, na bila kunistua nilikuwa naelekea zangu mtaani kuwaonyesha show ya bure wananchi tunaoheshimiana nao[emoji23]