Ubondia wa utotoni umenifanya mimi Deo kisandu kuwa imara kwenye Utu uzima.

yani katika watu wana stori kuzidi wote kisandu ni zaidi ya dokta shika
 
Uimara gani unaouzungumzia hapa wakati juzi nilisoma mada humu kwamba ulikoswa koswa kuchezea "kipande cha nyama ngumu".uimara unaujua kweli kweli wewe?
 
'..........Kuna wengine wabeba vyuma, na hawana Marinda..........Zilipendwaaa'
 
Sasa uliliwaje Tigo Mkuu? Wakat we ni bondia mzuri tu?
 
Tusi hili Mkuu.



hapana,Deo sasa amekuwa maarufu..japo haeleweki..

Ona..'weka bandiko/thread inayohusu kilimo/ujasiriamali/uchumi/ hata afya,utaona mwitikio wake..' watu hawachangamkii sana

sasa aje Deo.. 'aweke upupu wake...utaona RAIA wanavyojitahidi..kukoment

hapo ndio sasa inabidi 'uwe na akili kama za Deo..'

deo ni Brilliantly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…