Ubondia wa utotoni umenifanya mimi Deo kisandu kuwa imara kwenye Utu uzima.

Ubondia wa utotoni umenifanya mimi Deo kisandu kuwa imara kwenye Utu uzima.

hapana,Deo sasa amekuwa maarufu..japo haeleweki..

Ona..'weka bandiko/thread inayohusu kilimo/ujasiriamali/uchumi/ hata afya,utaona mwitikio wake..' watu hawachangamkii sana

sasa aje Deo.. 'aweke upupu wake...utaona RAIA wanavyojitahidi..kukoment

hapo ndio sasa inabidi 'uwe na akili kama za Deo..'

deo ni Brilliantly
Mimi nilimshauri aandike kitabu, kwasababu ama series ya matukio sana.
 
Utemi uliuanza longi eehh.
Kuna Uzi humu deo anasimuliaa kuwa kuna room mate wake alimpitishia kitu mfano wa Nyoka kunako makalio yake, usiku wakiwa kitandani huku huyu Deo akiwa mtupu! Deo anasema alimsamehe mtu yule Japo mtu yule aliingiza!
 
Uimara upi wakati juzi juzi hapa ulikuwa unasema ulibakwa na watu walikuchukua video?we fala sana.jamaa anakuingizia issue unasema eti hukuweza mfukuza sababu hakuwa na pa kwenda .so kama hakuwa na pa kwenda(hakuwa na demu wa kumuingizia) ukaona ni sawa umruhusu akae kwako( akuingizie dudu yake) huo ni ulofa. Au ulikuwa unatangaza biashara?
 
Huyo MNELA miongoni mwa dada zake zake mmoja alikuwa nesi hospital ya mkoa pale Tabora alikuwa amepanga nyumbani kwetu na alikuwa na watoto wa3.......Kulthum, Abdallah na Pazi......dada yake mwingine na MNELA alikuwa anaitwa SHARIFE kama sikosei, mwingine alikuwa anaitwa SUNNA na mwingine ambae nadhani alikuwa ndo wa mwisho kwa kuzaliwa alikuwa anaitwa Zubeda, nimegegeda sana yule binti......lakini pia nakumbuka jamaa alikuwa na kaka zake wengine wawili nao walikuwa bangi mtu SEIF na mwingine nimemsahau jina lake
 
Huyo MNELA miongoni mwa dada zake zake mmoja alikuwa nesi hospital ya mkoa pale Tabora alikuwa amepanga nyumbani kwetu na alikuwa na watoto wa3.......Kulthum, Abdallah na Pazi......dada yake mwingine na MNELA alikuwa anaitwa SHARIFE kama sikosei, mwingine alikuwa anaitwa SUNNA na mwingine ambae nadhani alikuwa ndo wa mwisho kwa kuzaliwa alikuwa anaitwa Zubeda, nimegegeda sana yule binti......lakini pia nakumbuka jamaa alikuwa na kaka zake wengine wawili nao walikuwa bangi mtu SEIF na mwingine nimemsahau jina lake
Heshima yako General!
 
Kipindi cha utotoni kimenifanya kukumbuka mambo mengi sana, utotoni nimekulia mtaa wa watoto watukutu sana Wakiislam, Mtaa wa Kilima-Nyihogo hapa wilayani Kahama, mkoa wa Shinyanga. Kulikuwa na Mzee jirani na alipokuwa amepanga mama mzazi, nyumba hiyo ni kwa Mzee Khamis Seif, Mzee Khamis Seif alikuwa na watoto kama sijakosea watatu wa kiume, yule mtukutu sana alikuwa anaitwa MNELA na alikuwa mbabe sana utotoni.

Ilikuwa ni mwaka 1988 nikiwa na miaka 8 hivi, Nakumbuka tulisimama barabarani jirani na nyumbani kwa MAMA HINDU mtaa huo huo, basi watoto wakubwa wa Kiume wa Mama Hindu waakina BAI na KILONGE wakatuona tunarushiana vijembe, wakasogea karibu wakatuambia sasa mpigane tuone nani mbabe, Kilonge akachota mchanga chini akaweka viganjani kwake akasema haya pigeni mchanga, tukapiga mchaga ukamwagika chini kutoka viganjani, aisee MNELA nilimkung'uta makonde mpaka akakimbia kushitaki kwa baba yake, Mzee Khamis alicheka sana siku hiyo, jioni yake nikakutana tena na mtoto mwenzangu mwingine anaitwa MSAFIRI mtaa huo huo jirani na nyumbani kwa baba yangu mzazi, kaka yake EMANUEL akatupambanisha tena, aisee nilipiga isivyo kawaida mpaka kaka yake akatuamua.

Basi mimi nilikuwa najidai mwenzenu mtaa mzima wakaanza kuniogopa hasa vijana wa wakati huo tuko watoto, Mzee alipopata taarifa nilifokewa tabia ya kupigana na watoto wenzangu, basi Mnela akawa hataki tena kuwa na urafiki na mimi Deo Kisandu, nikabaki na marafiki wachache tu akina Sued Khamis na Baltazary(mwarabu). Mzee Kisandu babu yake na baba aliomba nipelekwe kijijini kabisa nikachunge ng'ombe ndipo nilipopelekwa kijiji cha ITUGUNHU ambako nilianza na shule ya msingi.

Nimegundua kuwa kumbe mimi ni BONDIA kabisa sema tu sijapata muda wa kufanya mazoezi ya kutosha, kule kijijini walinishika sana nikawa siwezi kufanya chochote, sasa ivi kwa kweli alhamdurilah ukinifanyia fyoko na kukunja kweli kweli. Kumbe asili huwa haitoki kabisa. Kuna haja ya kujua tabia za watoto wetu na jinsi ya kuzikontro maana anachokifanya utotoni kinaweza kuja kufanyika pia ukubwani.Mtoto wa kuwa karibu na baba mzazi kuna faida kubwa sana. Siku njema

Deogratius Nalimi Kisandu
2 januari 2018.
Kipindi hicho hujaanza ule mchezo
 
nlikuwa nakukubali sana ila tokea useme kuwa kuna mtu alikusukuma tope, nlianza kukudharau toka siku hyo!
 
Back
Top Bottom