Ubongo, Akili au Hisia?

Jamani wakuu mi naona ni vyema tukajadili mada kuliko kujadili maandishi. Mada ni nzuri lakini imekosa wachangiaji.
Ebu tujadilini mada kwa wenye uelewa.
Mada ni nzuri
Trust me

Watoto wa MMU na Chi Chat, hizi mada wanaishiaga kuona rangi rangi tu. Hii mada ni ngumu kwao. Achana nao mkuu.. Naomba maoni yako.
 
kesho na keshokutwa uje kusema hupati mume.. kumbe ni sababu huna akili,hekima na kujitunza.
Macho ya mwanamke huwa yapo sensitive sana kwenye rangi ya kitu kuliko content.

Anyway, Jina lako linasema kila kitu pia, nishakusemehe.
 
Ha
yo ni maneno ambayo mtu huambiwa ili afanye jambokwa usahihi, ila kiuhalisia kuna propbability ndogo sana kuwa km wahusika wanavyodai
 
akili ni ability ya ubongo kufanya kazi ya kufikiria na hisia ni maamuzi au mtazamo juu ya jambo flani kwa kulitazama na kuchukulia maamuzi kwa hulka na ushabiki bila kufikiri. Ni mtazamo wangu
 
Kuna watu wanasema akili makao yake makuu ni moyoni,naomba kuuliza vipi wale wanaopoteza uwezo wa kufikili Mara tu baada ya kupata madhara kichwani either Kwa ajali au jambo lingine?
Mimi kuna MTU aligongwa na gari,Likamuumiza vibaya kichwani,tangia hapo network ilikata yaani alikuwa hawezi kukumbuka kitu wala kufanya maamuzi yenye uitaji wa akili.
 
Katika maelezo ya ubongo umeelezea vizuri saana big up

Ila ktk moyo Hizo ni habari mpya watu wa medicine wakiona maelezo yako watakupeleka psychotic ward wakufungie usitoke ng'o

moyo ni cardiovascular system na unaposema ktk moyo matendo ya mwanadam huratibiwa ni uongo siku zote matendo ya binadam huratibiwa ktk central nervous system na ukaendelea kuongopa kuwa moyo ndipo mambo ya kiufahamu uwekwa yaan moyo unaupa kazi ya central nervous system

Unachanganya cardiovascular system na central nevous system kasome vizuri anatom and physiology
 
Nifikiriavyo : akili ni hekima, hekima =uwezo wa kupambanua mambo kuelekea usahihi. Chanzo cha akili ni ubongo.
 
Watoto wa MMU na Chi Chat, hizi mada wanaishiaga kuona rangi rangi tu. Hii mada ni ngumu kwao. Achana nao mkuu.. Naomba maoni yako.

Nikianza na ubongo: ni solid iliyopo ndan ya fuvu la kichwa. Kazi yake kuu ni kuratibu matendo yote ya hiyari na yasiyo ya hiyari.
Akili: kwa mtazamo wangu, ni fikra zinazopatikana kwenye ubongo ambazo zinaweza/kutumika kung'amua mambo/jambo baya/zuri.
Hisia: kwa mtazamo wangu ni ile hali ya kuguswa na kitu baada ya ubongo kupata taarifa (from unknown source)
Trust me
 
Siamini katika swala moyo kabisa that's why nilipenda kuutenga kwenye uzi.
 
Hizi ni mambo za pituitary kuonekana huna akili ni kufail au kuwa slow kwa connection ya pituitary na medulla
 
Wakati unaandika hayo ulihitimu ngazi gani ya elimu?
 
umeandika kwa hisia kali japo sio sana pia andika lako linafikirishi bongo kwa mtoto wa darasa la tano katika kutegua kitendawili cha KUKU NA YAI nani MAMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…