Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Hivi mshawahi kulala usingizi mzito then ubongo ukawa active (kuamka) lakini mwili unagoma kufanya lolote?... unataman ujigeuze ila mwili unagoma, nachoshukuru Mungu ni kwamba jambo la kwanza kukumbuka na kulifanya ni kutoa Shahada na kusoma baadhi ya sura za Quran.. hali hii hudumu si chini ya dk 5..
Na hiv karibun imekuw ikinitokea mara kw mara.. sasa sijajua kuna wadau wananipima ama vipi.. kmk
Na hiv karibun imekuw ikinitokea mara kw mara.. sasa sijajua kuna wadau wananipima ama vipi.. kmk