Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Hiki kitu kipo kilishawahi kutokea na kitu kingine ambacho mpaka Sasa nakiogopa ni issue ya NDEsHivi mshawahi kulala usingizi mzito then ubongo ukawa active (kuamka) lakini mwili unagoma kufanya lolote?... unataman ujigeuze ila mwili unagoma, nachoshukuru Mungu ni kwamba jambo la kwanza kukumbuka na kulifanya ni kutoa Shahada na kusoma baadhi ya sura za Quran.. hali hii hudumu si chini ya dk 5..
Na hiv karibun imekuw ikinitokea mara kw mara.. sasa sijajua kuna wadau wananipima ama vipi.. kmk
Yes mkuuFact kabisa
Sema walio wengi watapotea mwerevu hufuata njia yake mwenyewe si kwasababu wengi wamepita.Yes mkuu
Sir hiyo inaitwa sleep paralysis husababishwa na ubongo wako unakua umeamka lakini mwili wako unakua bado umelala. Ingekua zamani ningekuelezea Kwa undani jinsi Rapide Eye movement inavyosababisha hili tatizo. #uzeeHivi mshawahi kulala usingizi mzito then ubongo ukawa active (kuamka) lakini mwili unagoma kufanya lolote?... unataman ujigeuze ila mwili unagoma, nachoshukuru Mungu ni kwamba jambo la kwanza kukumbuka na kulifanya ni kutoa Shahada na kusoma baadhi ya sura za Quran.. hali hii hudumu si chini ya dk 5..
Na hiv karibun imekuw ikinitokea mara kw mara.. sasa sijajua kuna wadau wananipima ama vipi.. kmk
Hiki kitu kipo kilishawahi kutokea na kitu kingine ambacho mpaka Sasa nakiogopa ni issue ya NDEs
KabisaSema walio wengi watapotea mwerevu hufuata njia yake mwenyewe si kwasababu wengi wamepita.
Watu wengi watapinga haya mambo ila amini Mungu huongea na watu kupitia ndoto
Sawa sometimes ni REM but, kuna scenario unaona kuna dalili za mtu au activities flan...Sir hiyo inaitwa sleep paralysis husababishwa na ubongo wako unakua umeamka lakini mwili wako unakua bado umelala. Ingekua zamani ningekuelezea Kwa undani jinsi Rapide Eye movement inavyosababisha hili tatizo. #uzee
Huwa sio Roba ukilala juu but kisayansi unaikandamiza hypothalamus. Kichogoni huku NI sehem vulnerable ndio maana ukipagonga ni rahisi kusababisha Concussion. So unapolalia upande WA nyuma wa kichwa lazima uote vitu vibaya. Na kiimani wanasema ukilala umeelekea juu unakua umelipa mwanya jicho laki la tatu linalokaa kwenye paji la kutake over wakati macho mawili yanakua kwenye REM state.Sawa sometimes ni REM but, kuna scenario unaona kuna dalili za mtu au activities flan...
Je ishu ya Jinamizi? Hii ilitolew ufafanuz kwamba ukilala umeangalia juu kuna hati hati ya kukabwa na Jinamizi.. ingaw kuna sababu za kisayansi why unahis unapigwa Roba/Loki/Mnigo..
Ahsante kwa ilmu..Huwa sio Roba ukilala juu but kisayansi unaikandamiza hypothalamus. Kichogoni huku NI sehem vulnerable ndio maana ukipagonga ni rahisi kusababisha Concussion. So unapolalia upande WA nyuma wa kichwa lazima uote vitu vibaya. Na kiimani wanasema ukilala umeelekea juu unakua umelipa mwanya jicho laki la tatu linalokaa kwenye paji la kutake over wakati macho mawili yanakua kwenye REM state.
Ndio maana mafarao wote ilikua NI lazima walale paji la USO liko juu
Jinamizi, ni ndoto za kawaida tu. Kama ni mara ya kwanza kuota, itakupata sana na utaizoea tuHivi mshawahi kulala usingizi mzito then ubongo ukawa active (kuamka) lakini mwili unagoma kufanya lolote?... unataman ujigeuze ila mwili unagoma, nachoshukuru Mungu ni kwamba jambo la kwanza kukumbuka na kulifanya ni kutoa Shahada na kusoma baadhi ya sura za Quran.. hali hii hudumu si chini ya dk 5..
Na hiv karibun imekuw ikinitokea mara kw mara.. sasa sijajua kuna wadau wananipima ama vipi.. kmk