Ubongo interchange to cost sh 9 b

Hii ubungo interchange ni mkopo kutoka world bank ..from what i know ..hela ya world bank wanakuwaga nayo wenyewe na wanalipa wenyewe contractors au huipa serikali kidogo kidogo kutokana na matumizi ..sidhani kama world bank walivyopelekewa proposal na cost kwamba ni 177billion tsh ..wao walikubali tu bila kufanya research zao ..world bank wako strict sana na pesa zao na maswala ya rushwa ..so i thnk 177bntsh is worth it
 
Hamna kitu hapo
Hizo zenu ni barabara za kawaida tuu interchange ya ghorofa NNE ktk Africa IPO kwa nchi mbali au tatu tuu na itatoa lane nane ambazo zitakwenda 16km na kuebdelea mpk chalinze 200km super highway with flyover za kumwaga SI kama huo ushuzi wa Dr shika road
 
Do you even know how Ubungo Interchange will be looking like? Do you think we demolished a $15M building for nothing just to construct a mere exit? Karibu uje ushangae Ubungo, ila huku mnakuja kwa Passport, IDs mwisho Kakamega[emoji12]
Wape baba
Bongo tunajikubali hakuna kuingia kwenye nchi yetu kizembe zembe
 
Do you even know how Ubungo Interchange will be looking like? Do you think we demolished a $15M building for nothing just to construct a mere exit? Karibu uje ushangae Ubungo, ila huku mnakuja kwa Passport, IDs mwisho Kakamega[emoji12]
Nakumbuka ulipoanzishwa mradi wa mwendokasi waliponda hivi hivi lkn sasa hivi wanapanga foleni kuja kujifunza nchi kibao za Africa ikiwemo Kenya
Khy wacha wapige kelele na kuponda lkn naamini siku wakija bongo wataishia kibaha kutafuta madereva wa kuwaingizia magari yao city center
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…