Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 2,962
- 7,856
Hii ubungo interchange ni mkopo kutoka world bank ..from what i know ..hela ya world bank wanakuwaga nayo wenyewe na wanalipa wenyewe contractors au huipa serikali kidogo kidogo kutokana na matumizi ..sidhani kama world bank walivyopelekewa proposal na cost kwamba ni 177billion tsh ..wao walikubali tu bila kufanya research zao ..world bank wako strict sana na pesa zao na maswala ya rushwa ..so i thnk 177bntsh is worth it