Ubongo wa kijana wa Dar umebeba mambo haya makuu

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
630
Reaction score
2,151
Vijana wengi ndani ya da'slam hujiita watoto wa mjini na wengi ukikutana nao popote pale wao hua ni Kama wameshamaliza Kila kitu kwenye haya maisha. Na ndani ya vichwa vyao bongo zao zimebeba vitu hivi vikuu sana.

  • Kwa mparange
  • Chips mayai.
  • Diamond
  • Alikiba.
  • Simba/yanga
  • CCM
  • Kidali/paja la kuku wa kisaaa.
  • WCB
  • Konde gang

 
Ukitaka kumuudhi kijana wa Dar ongea ukweli kuhusu Diamond kuwa si mwanamuziki wa kutisha kivile, analazimisha tu talent utawaona wanakuja hapa kulia na kutishia kuvunja computer za maboss wao makazini ama kujiua tu ili ku prove a point.

Think of it eti mtu anataka kujiua kwa ajili ya Diamond na ni mwanamme sasa.
 
Nawengine wazee mpaka kudiliki kujiita machawa wakati umri umwshawatupa mkono
 
Haaahaaahaa

[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]

Halafu kweli tupu
 
Afu ndio wanaongoza kuwagongea madada zenu
 
Kabisa mkuu. Usimone kijana wa dar amefanikiwa ukatamani uishi kama yeye,umepotea.
Dar eE salaam imebeba mambo makubwa ya ajabu ya siri hasa kwa vijana.
Vijana wa Kitanzania wazaliwa wa kuanzia miaka ya 1995 ni wavivu lakini wenye kupenda sana njia za mkato,wenye kupenda sana mafanikio ya haraka. Wenye tamaa
Kuna kijana wa rafikiangu yuko dar,shule hataki. Kapelekwa gereji hataki,anakaa tu nyumbani na kuungana kushinda na makundi mabaya. Nafikiria huyo mwisho wake ni nini?.
Ndio maana Tz ina vijana wengi wanaoshikiliwa nchi mbalimbali kwa tuhuma za kujihusisha na kusafirisha unga.
Wabongo waishio south Africa wanaogopwa kwa wizi,unga na mambo mengine mabaya.
Yupo yule kijana wa kiume mmoja picha zake zimevujishwa juzi juzi hapo hapo town. Yule kijana ameenda gym sana ana parking ya mwili six park ya maana tu. Lakini picha zake zilizovuja ana**y*nya mwanaume m**o. Kwa ujumla yule kijana anafanyiwa mambo ya sodoma na gomola. Yote hayo ni kukimbilia easy life. Hasa wanaokimbilia dar. Huyo ni mmoja tu kati ya vijana wanakimbilia gym kujenga miili yenye mvuto ili waolewe na mijimama. Wengine ndio kama huyo wanaishia mikononi mwa madume wenzao wenye ukwasi. Na ksbb yeye shida yake ni mafanikio ya haraka,anajikuta anashawishiwa ili nae aendeshe gari hapo dar.
Mwisho nawaasa hawa vijana wa leo hakuna kabisa njia ya mkato ya mafanikio bila jasho lako. Vinginevyo utapata mafanikio yenye majuto kila siku ya maisha yako. Jitafakari kabla hujaamua
Usiige mwenzio kafanikiwaje,tumia njia yako iliyo salama.
Kizazi cha sasa MUNGU atusaidie tu wenye vijana wa kiume.
 
Mleta mada unasikitisha sana kama hayo ndiyo unayoyawaza...
 
Hii katika sayansi ya saikolojia inaitwa ^self-commit-men^ (Def. Committed men willing to commit suicide for no reason whatsoever except exhilaration and ^dabo-key-ki ) πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…