Kabisa mkuu. Usimone kijana wa dar amefanikiwa ukatamani uishi kama yeye,umepotea.
Dar eE salaam imebeba mambo makubwa ya ajabu ya siri hasa kwa vijana.
Vijana wa Kitanzania wazaliwa wa kuanzia miaka ya 1995 ni wavivu lakini wenye kupenda sana njia za mkato,wenye kupenda sana mafanikio ya haraka. Wenye tamaa
Kuna kijana wa rafikiangu yuko dar,shule hataki. Kapelekwa gereji hataki,anakaa tu nyumbani na kuungana kushinda na makundi mabaya. Nafikiria huyo mwisho wake ni nini?.
Ndio maana Tz ina vijana wengi wanaoshikiliwa nchi mbalimbali kwa tuhuma za kujihusisha na kusafirisha unga.
Wabongo waishio south Africa wanaogopwa kwa wizi,unga na mambo mengine mabaya.
Yupo yule kijana wa kiume mmoja picha zake zimevujishwa juzi juzi hapo hapo town. Yule kijana ameenda gym sana ana parking ya mwili six park ya maana tu. Lakini picha zake zilizovuja ana**y*nya mwanaume m**o. Kwa ujumla yule kijana anafanyiwa mambo ya sodoma na gomola. Yote hayo ni kukimbilia easy life. Hasa wanaokimbilia dar. Huyo ni mmoja tu kati ya vijana wanakimbilia gym kujenga miili yenye mvuto ili waolewe na mijimama. Wengine ndio kama huyo wanaishia mikononi mwa madume wenzao wenye ukwasi. Na ksbb yeye shida yake ni mafanikio ya haraka,anajikuta anashawishiwa ili nae aendeshe gari hapo dar.
Mwisho nawaasa hawa vijana wa leo hakuna kabisa njia ya mkato ya mafanikio bila jasho lako. Vinginevyo utapata mafanikio yenye majuto kila siku ya maisha yako. Jitafakari kabla hujaamua
Usiige mwenzio kafanikiwaje,tumia njia yako iliyo salama.
Kizazi cha sasa MUNGU atusaidie tu wenye vijana wa kiume.