Ubongo wa kijana wa Dar umebeba mambo haya makuu

Ubongo wa kijana wa Dar umebeba mambo haya makuu

Unadhani haya yote yamesababishwa na nini?

Nini kifanyike ili kukinusuru hiki kizazi cha sasa?
 
Mkuu unamaanisha kijana wa Dar anaweza kutoa tako ili apate kausafiri
Mkuu hujaona ile video imetrend sana hapo town?. Kinjemba kile kimejenga mwili vizuri six park,lakini yuko kuliwa tako vizuri tu. Halafu jamaa naona alimpania kabisa amwanike. Maana anamshika mpaka mpaka shingo anamwinamishia hivi. Mwisho akamwagia usoni kibao
 
Kabisa mkuu. Usimone kijana wa dar amefanikiwa ukatamani uishi kama yeye,umepotea.
Dar eE salaam imebeba mambo makubwa ya ajabu ya siri hasa kwa vijana.
Vijana wa Kitanzania wazaliwa wa kuanzia miaka ya 1995 ni wavivu lakini wenye kupenda sana njia za mkato,wenye kupenda sana mafanikio ya haraka. Wenye tamaa
Kuna kijana wa rafikiangu yuko dar,shule hataki. Kapelekwa gereji hataki,anakaa tu nyumbani na kuungana kushinda na makundi mabaya. Nafikiria huyo mwisho wake ni nini?.
Ndio maana Tz ina vijana wengi wanaoshikiliwa nchi mbalimbali kwa tuhuma za kujihusisha na kusafirisha unga.
Wabongo waishio south Africa wanaogopwa kwa wizi,unga na mambo mengine mabaya.
Yupo yule kijana wa kiume mmoja picha zake zimevujishwa juzi juzi hapo hapo town. Yule kijana ameenda gym sana ana parking ya mwili six park ya maana tu. Lakini picha zake zilizovuja ana**y*nya mwanaume m**o. Kwa ujumla yule kijana anafanyiwa mambo ya sodoma na gomola. Yote hayo ni kukimbilia easy life. Hasa wanaokimbilia dar. Huyo ni mmoja tu kati ya vijana wanakimbilia gym kujenga miili yenye mvuto ili waolewe na mijimama. Wengine ndio kama huyo wanaishia mikononi mwa madume wenzao wenye ukwasi. Na ksbb yeye shida yake ni mafanikio ya haraka,anajikuta anashawishiwa ili nae aendeshe gari hapo dar.
Mwisho nawaasa hawa vijana wa leo hakuna kabisa njia ya mkato ya mafanikio bila jasho lako. Vinginevyo utapata mafanikio yenye majuto kila siku ya maisha yako. Jitafakari kabla hujaamua
Usiige mwenzio kafanikiwaje,tumia njia yako iliyo salama.
Kizazi cha sasa MUNGU atusaidie tu wenye vijana wa kiume.
Point kabsa vijana wamesikia
 
Vijana wengi ndani ya da'slam hujiita watoto wa mjini na wengi ukikutana nao popote pale wao hua ni Kama wameshamaliza Kila kitu kwenye haya maisha. Na ndani ya vichwa vyao bongo zao zimebeba vitu hivi vikuu sana.

  • Kwa mparange
  • Chips mayai.
  • Diamond
  • Alikiba.
  • Simba/yanga
  • CCM
  • Kidali/paja la kuku wa kisaaa.
  • WCB
  • Konde gang

View attachment 1844118
na rafiki angu anaitwa mudy , ana hizi sifaa ....cjui nimshauri nn hawa kina mudy nina wasiwas nao ( baadhi) kama huyu mshkaji wangu
 
Vijana wengi ndani ya da'slam hujiita watoto wa mjini na wengi ukikutana nao popote pale wao hua ni Kama wameshamaliza Kila kitu kwenye haya maisha. Na ndani ya vichwa vyao bongo zao zimebeba vitu hivi vikuu sana.

  • Kwa mparange
  • Chips mayai.
  • Diamond
  • Alikiba.
  • Simba/yanga
  • CCM
  • Kidali/paja la kuku wa kisaaa.
  • WCB
  • Konde gang

View attachment 1844118
We umejuaje watu wanawaza nini, haya ni mawazo yaliyo kichwani mwako usifikiri kila mtu ndo anachowaza. Kingine kama wewe huna mchongo wa kukuleta Dar endelea kucheza na mbuzi na kondoo huko uliko ndio level zako. Usifosi tufanane.
 
Povu la nin mkuu wangu ..yaan wew kuish dar ndo unajiona umemaliza life au sio.?[emoji23][emoji23]
 
Naishi Iringa, Dar napatumia kama njia kwenda Nje na wakati mwingine nalazimika kuwepo hata mwezi, kuna raha kama unamla mwenzio.
Povu la nin mkuu wangu ..yaan wew kuish dar ndo unajiona umemaliza life au sio.?[emoji23][emoji23]
 
We umejuaje watu wanawaza nini, haya ni mawazo yaliyo kichwani mwako usifikiri kila mtu ndo anachowaza. Kingine kama wewe huna mchongo wa kukuleta Dar endelea kucheza na mbuzi na kondoo huko uliko ndio level zako. Usifosi tufanane.
Hao ndio wanaume Wa dar
 
Povu la nin mkuu wangu ..yaan wew kuish dar ndo unajiona umemaliza life au sio.?[emoji23][emoji23]
Megundua unachuki na watu wa dar,cos ishu ya Diamond na Alikiba ni mikoa yote

Ishu ya chips nadhani ni athari ya kimazingira,hamna kazi ngumu mjn pale kam huku kwetu bush na kam zipo ni chache kam zege n.k afu kula chips cyo kosa kijamii,chips ni viazi vilivyo kaangwa.

Suala la uvivu,ni hulka ya mtu tu,mana kun vijana pale dar wanapamban kwel yan ten zaid ya huku kwetu

Kwa mpalange,hii ni kwa mikoa yote ya pwani ci dar pekee,nahisi ni athari ya kuhusiana na waarabu huwa na desturi hizo.

N.k
 
Ukitaka kumuudhi kijana wa Dar ongea ukweli kuhusu Diamond kuwa si mwanamuziki wa kutisha kivile, analazimisha tu talent utawaona wanakuja hapa kulia na kutishia kuvunja computer za maboss wao makazini ama kujiua tu ili ku prove a point.

Think of it eti mtu anataka kujiua kwa ajili ya Diamond na ni mwanamme sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom