Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Huwa najaribu kutengeneza heading fikirishi ili tujaribu kudadisi ukweli.
Nilisikia watu wanaongea kwamba kuna uhusiano kati ya majira mbali mbali ya mwezi na akili/ubongo wa binadamu.
Wengine wanasema kuna supernatural power ambayo ukikaa sehemu tulivu kama mlimani au sehemu yoyote tulivu huwa inatoa vibrations kuanzia mida ya saa nane au tisa usiku.
Je, Kuna mahusiano gani kati ya majira mbali mbali ya mwezi na kichwa/akili/ubongo wa Mwanadamu.
Nawasilisha.