Leo mijitu imekaa kimya
Lakini Mtu akijisikia tu kumuita mwenzake mwezi mchanga Anaita..
Hana fact, hana ajualo bora tuu kasikia na yeye anatamka..
Mijitu bado inaishi kwa Mapokezi, Shule haijamsaidi..
Hili jukwaa limejaa vijitu vishirikina, hasa vidada.
BTW: kuna ka uzi flani humu kuna jamaa alijarb kuelezea mda sana..