Ubongo wa mwanamke unavyofanya kazi

Ubongo wa mwanamke unavyofanya kazi

Kumbe kwahiyo timing nzuri ni kufanya bila kufikiria kabisa
 
Niongeze.Mwanamke Ana ubongo mdogo kulinganisha na wa mwanaume.Lakini mwanamke anatumia ubongo wake zaidi kuliko mwanaume.
[HASHTAG]#proud[/HASHTAG] woman[emoji18]
Sasa kuwashawishi kwa maneno tu hata kama ulikuwa unaenda saloon ukaghairi na kwenda hotel kuvua nguo, hapo ujanja wenu unakuwa umefikia mwisho?
 
900eab0261fad828d639a6b79a053e31.jpg
 
Ndio maana wakikosa shule wanakuaga wambea sana!.yaani nishida kabisa.
 
Sasa kuwashawishi kwa maneno tu hata kama ulikuwa unaenda saloon ukaghairi na kwenda hotel kuvua nguo, hapo ujanja wenu unakuwa umefikia mwisho?
Mhh..Ngoja nkukumbushe the greatest falls in history of men zilisababishwa na wanawake na hii inathibitisha wanawake ndio tunaushawishi zaidi.
mifano;
Eve alivyomponza Adam,
Delilah alivyompomza Samson,
Cleopatra alivyompomza Julius Caesar na Marc Anthony, Lewinsky alivyomponza Bill Clinton,na wengine wengi.
Wanasema women run this world.
Na waliimba this is a man's world but it would be nothing without a woman.
 
mi wangu tunachilana huku anatafuna big G au anachat na sijawah kuona ht akijiuma
 
Sio kama ubongo wao uko active sana, bali wanawake wanamachale sana! Ndio maana ukijifanya unamkaribisha ndani anakuangalia mbele, akiona pametuna utasikia "ntaingia siku nyingine"...!!!
Tehe tehe tehe duuh nimecheka sana
 
Niongeze.Mwanamke Ana ubongo mdogo kulinganisha na wa mwanaume.Lakini mwanamke anatumia ubongo wake zaidi kuliko mwanaume.
[HASHTAG]#proud[/HASHTAG] woman[emoji18]

Mwanamke hajawahi kuutumia ubongo kumshinda mwanaume mkuu.

Wanawake ni watu wa kukurupuka bila kutumia ubongo/akili. Hufuata matamanio ya moyo/hisia.

Ndio maana wanawake huongoza kwa majuto kuliko wanaume.

Hivyo umeongea uongo
 
Mhh..Ngoja nkukumbushe the greatest falls in history of men zilisababishwa na wanawake na hii inathibitisha wanawake ndio tunaushawishi zaidi.
mifano;
Eve alivyomponza Adam,
Delilah alivyompomza Samson,
Cleopatra alivyompomza Julius Caesar na Marc Anthony, Lewinsky alivyomponza Bill Clinton,na wengine wengi.
Wanasema women run this world.
Na waliimba this is a man's world but it would be nothing without a woman.

Eva hakuwa na akili zilizomtosha kumdanganya au kumshawishi Adamu mkuu.

Adamu alikula kwa mapenzi yake kwa Eva na si vinginevyo.

Hata Adamu alipoulizwa kuwa kwa nini amekula tunda alichojibu ni tofauti na Eva alichomjibu Mungu.

Eva alijibu kuwa Nyoka ndiye aliyedanganywa.

Kudanganywa inamaanisha kuzidiwa akili/werevu au ujanja. Ndio maana Biblia inasema nyoka alikuwa mwerevu kupita wanyama wote wa mwituni.

Itoshe sasa
 
Umecrush evidence yangu moja nimebaki na tatu.hiyo Ina Maana bado mimi ndio nileyetetea point yangu vizuri kuliko wewe.
Em njoo na point nyingine pamoja na evidence nikuelewe vizuri.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom